Orodha ya washindi tuzo za TFF

Mr Never Mind

JF-Expert Member
Mar 1, 2019
287
335
Simba Tuzo TFF.jpg

Mpaka sasa Tuzo za TFF hawa ndo walioshinda

1.Kipa bora - Aish Salum Manula- Simba sc

2.Kocha bora ligi kuu-Didier Gomes Da Rosa-Simba Sc

3.Kiungo bora- Clatous Chota Chama- Simba Sc

4.Kocha bora ligi ya wanawake - Edna Lema-Yanga princess

5.Fair Play( mchezo wa kiungwana)- Kibwana Shomary- Young Africans

6.Mwamuzi bora- Ramadhan kayoko

7.Beki bora- Mohammed Hussein - Simba Sc

8.Tuzo ya heshima soka la wanawake- Maneno Tamba (RIP)

9.Mfungaji bora - John Bocco- Simba Sc

10.Mfungaji bora kombe la shirikisho- Reliant Lusajo- Namungo Fc

11. Rais wa heshina TFF - Leodigar Tenga

12.Kipa bora Shirikisho- Aish Salum Manula

13.Goli bora la mwaka- Sabiyanka - Tanzania Prison

14.Tuzo ya heshima - Abdala kibadeni

15.Mhamasishaji Bora - Bongo zozo

16. Bingwa ligi kuu Simba Sc

17 .Bingwa ligi ya wanawake - Simba Sc

18. Ligi ya wanawake Mshindi wa pili Young Princess

Yanga Tuzo TFF.jpg
 
Ligi ya wanaume kikosi bora cha msimu.

1.Aish Salum Manula - Simba Sc- Golikipa

2.Shomary Salum Kapombe- Simba Sc - Beki 2

3.Mohhameid Hussein Zimbwe Junior Tshabalala- Simba Sc- Beki 3

4.Joash Onyango - Simba Sc- Beki 4

5.Dickson Job - Young Africans - Beki 5

6.Mukoko Tomombe - Young Africans - Kiungo mkabaji

7.Clatous Chota Chama - Simba Sc - Kiungo Mshambuliaji

8. Feisal Salum Feitoto - Young Africans - Kiungo Mshambuliaji

9.John Boko- Simba Sc - Mshambuliaji

10.Prince Dube - Azam Fc - Mshambuliaji Msaidizi

11. Louis Josee Miquissone- Simba Sc- Kiungo ( winga)
 
Mpaka sasa Tuzo za TFF hawa ndo walioshinda

1.Kipa bora - Aish Salum Manula- Simba sc

2.Kocha bora ligi kuu-Didier Gomes Da Rosa-Simba Sc

3.Kiungo bora- Clatous Chota Chama- Simba Sc

4.kocha bora ligi ya wanawake - Edna Lema-Yanga princess

5.Fair Play( mchezo wa kiungwana)- Kibwana Shomary- Young Africans

6.Mwamuzi bora- Ramadhan kayoko

7.Beki bora- Mohammed Hussein - Simba Sc

8.Tuzo ya heshima soka la wanawake- Maneno Tamba (RIP)

9.Mfungaji bora - John Bocco- Simba Sc

10.Mfungaji bora kombe la shirikisho- Reliant Lusajo- Namungo Fc

11. Rais wa heshina TFF - Leodigar Tenga

12.Kipa bora Shirikisho- Aish Salum Manula

13.Goli bora la mwaka- Sabiyanka - Tanzania Prison

14.Tuzo ya heshima - Abdala kibadeni

15.Mhamasishaji Bora - Bongo zozo

16. Bingwa ligi kuu Simba Sc

17 .Bingwa ligi ya wanawake - Simba Sc

18. Ligi ya wanawake Mshindi wa pili Young Princess
Kwahiyo tuna kubaliana Simba SC ni Moto!!..Tuzo 90% wamechukua hawa Simba SC
 
Back
Top Bottom