Why Are Some Nations Rich and Others Poor? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Why Are Some Nations Rich and Others Poor?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Sanctus Mtsimbe, Aug 17, 2008.

 1. Sanctus Mtsimbe

  Sanctus Mtsimbe Tanzanite Member

  #1
  Aug 17, 2008
  Joined: Jul 14, 2008
  Messages: 1,815
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  With all the richness and huge natural resources we have, the people, the fertile land etc . . . . I Wonder why Tanzania is still among the Poorest Countries in the World.

  Can someone enlight me then "Why Are Some Nations Rich and Others Poor?". Is it God's choice? If not What then? Just wondering . . . .
   
 2. bokassa

  bokassa JF-Expert Member

  #2
  Aug 17, 2008
  Joined: May 19, 2007
  Messages: 403
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwa sababu, kuna nchi zina viongozi WATU na nyingine VIATU!!!!!!!!!
   
 3. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #3
  Aug 17, 2008
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,594
  Likes Received: 1,965
  Trophy Points: 280
  Hii issue ni VAST mkuu Mtsimbe.

  Kuna sababu kuu kadhaa...

  1)Viongozi wabovu ama wasiopata ama kutowa ushirikiano.

  2)Mfumo mbovu wa uchumi wa dunia. na siasa za kigaidi dhidi ya mataifa masikini haswa ya weusi.

  3)Un equal balance of trade ambayo inasababishwa na mfumo mbovu wa uchumi wa dunia...Mfumo ambao unatokana na sera za mataifa makubwa kiuchumi ambayo huwa hayataki mataifa madogo yapate maendeleo kwasababu zao mbali mbali...Nyingine zenye kujulikana na nyingine bado.

  4)Elimu bora kwa wananchi ikiwa ni pamoja na Ufahamu wa kutosha kuhusu HISTORIA YAO, Science,jiografia,mahesabu nk.

  5)MKOBA NI UFISADI ambao ofcourse unaletwa na uongozi MBOVU....Kila kiongozi ama serikali hutofautiana...Na tatizo tulilonalo ni migawanyiko ambayo sasa imefikia kubaya...Imekuwa ni kawaida kwenye siasa zetu kwa wanasiasa watawala wa nchi zetu na mataifa mengine makubwa ambayo tunchi twetu tunajaribu kuyaiga....Kwamba ni kawaida kwa watawala kuingia madarakani na kuwa na agenda zao za tofauti ambazo wamepewa na wafadhili wao...Agenda ambazo hazijawahi kuwa MASLAHI YA TAIFA NA WANANCHI WAKE...Bali migawanyiko ya kuwanufaisha wao na makampuni hayo yaliyowaweka madarakani na kuwapa silaha za kutosha dhidi ya wananchi hao hao wanaowapora kura na UHURU WAO....Hapo UMASIKINI UTAKOSEKANA?

  Hakuna kitu kibaya kama migawanyiko...Iwe ya kidini ama kikabila...Ukosefu wa elimu umepelekea watanzania na waafrika kutokuelewa kuwa /Biashara huria/pesa havina rangi,dini ama ukabila...Pesa ina language yake ya tofauti ambayo inajulikana na kila mwenye uelewa ama kipaji cha aina flani iwe ni biashara ama vinginevyo....Ndio maana hata mkienda kwenye soko la dunia mna negotiate in terms of money na si vinginevyo...Siasa na dini vikishaingizwa kwenye mahusiano yetu ya kibishara...Basi uwezekano wa wananchi kugeuzwa watumwa kwa vigezo hivyo hivyo ni mkubwa.

  Na ndio maana halisi ya globalization....Kwasababu ya utajiri wetu...Mataifa makubwa na wale waliotutawala na kutupeleka utumwani bado hayajaamuwa kutujali sisi na watoto wetu na haswa haswa kizazi kijacho.....Tusisahahu kuwa ni lazima RESOUECES ZETU ZITUNUFAISHE LA SIVYO VITA HAITASIHA AFRIKA...VITA YA KUGAWANYWA WENYEWE KWA WENYEWE NDIO UMASIKINI KUBWA WA KIFIKRA!

  Kama hakuna elimu kwa kweli tusitegemee chochote.

  Na pia kama ufisadi na upendeleo wa kujuwana hautakoma basi tuta igonre vipaji kwasababu ya kudharau masikini ama watu wa aina flani flani.

  Mataifa makubwa yenye maendeleo yalikuja pamoja...Watu wao walikuja pamoja na kuzingatia kazi na maendeleo ya Taifa bila ya kujali tofauti zao...Na sasa ndio maana unaona maendeleo waliyonayo.

  Kwa mfano Taifa kama la marekani liliwaweka kizuizini wa japani waliokuwa kwenye visiwa vyao kama vile Hawaii....Hii ni wakati wa vita ya pili ya dunia ambapo Roosevelt alikuwa na wasi wasi kuwa Japan Emperor ataichukuwa Hawaii kutokana na ukweli kuwa watu wa kisiwa hicho wana asili ya huko Asia.

  Swala hilo lililalamikiwa...Lakini kama dunia ingekuwa ya sasa hivi...Halafu Taifa jingine liingilie na kusema Hawaii nao wana UHURU wa kujitenga...Je marekani itakubali?

  Sasa kwanini sisi tujitenge?
  Kwasababu mambo si ni hayo hayo huko kwenye migodi yetu?

  Najuwa hata viongozi wetu pengine wanapewa pesa nyingi tu za kutosha lakini wanaweka mifukoni mwao na familia zao...Mfano ni mabilioni yaliyoibiwa ndani ya miaka saba iliyopita....Ni mabilioni ya dola na si MADAFU.

  Kwanini tusizingatie maslahi ya Taifa na hata kama ukifa ujuwe umekufa kifo NOBLE?

  Huu ni wakati wa kusema BASI Kwa masharti mabaya yanayotokana na mfumo mbovu wa Uchumi wa dunia wenye kuyakandamiza mataifa masikini......Nasema ni wakati wa UONGOZI BORA WENYE UTU....NA WENYE KUJALI UBINADAMU....Tukivipata hivyo...Then tutakuwa matajiri kwa kuweza ku UTILIZE RESOURCES ZETU KWA MANUFAA YETU NA VIZAZI VIJAVYO...HENCE PROSPERITY.
   
 4. G

  Ghwakukajha Senior Member

  #4
  Aug 17, 2008
  Joined: Apr 27, 2008
  Messages: 172
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Kwa nionavyo mimi,haswa ni suala la sera za serikali za nchi(I ll stick to Tz) ktk maendeleo.Tumebakia kung'ang'ania kuwa kilimo ndo uti wa mgongo wa taifa simply kwakuwa kinafanywa na majority,bila ya kuwa na mikakati madhubuti ya kuhakikisha kuwa mazingira ya kilimo yanaboreshwa.Sera zpo ndio,ila implementation ni tatizo sana.Greedy and non commitment of those in power is really a setback.Kingne ni kuhusu ELIMU,suala hli pia sera zake zmekuwa zikiachwa/zkimilikishwa kwa wazr mwenye dhamana hyo.Kila aamualo huwa ni NDIO MZEE!!Sioni kama kuna mpango mpango madhubuti wa kuhakikisha kuwa tunapiga hatua endelevu ktk hili zaidi ya hzo shule znazojengwa pasipo kuwa na waalimu wa kutosha na hata maabara,na kwa elimu ya juu ndo huu udahl tunaoushuhudia ukiongezeka pasipo juhudi za makusudi za kuboresha supporting facilities za huko vyuoni(esp. Udsm).Jambo lingne nadhan ni la khstoria zaidi,nchi yetu ilitawaliwa na wakoloni ambao waliondoa workforce yetu,wakachukua freely our resources na pia walidumaza maendeleo yetu kiutamaduni,na kiteknolojia pia.Inshort walifanikiwa ku_change attitude za babu zetu,but madhara yake ni ya long run.
   
 5. Pundit

  Pundit JF-Expert Member

  #5
  Aug 17, 2008
  Joined: Feb 4, 2007
  Messages: 3,741
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
 6. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #6
  Aug 17, 2008
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Kasome kitabu The Ghost of King Leopold, kitakupa mwangaza ni kwa nini wengine
  walitarijirika kwa kuiba mali asili za wengine.
   
 7. Pundit

  Pundit JF-Expert Member

  #7
  Aug 17, 2008
  Joined: Feb 4, 2007
  Messages: 3,741
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Jasusi,

  Thanks for the reference, lakini hii approach hai address kwa nini walioibiwa wawe walioibiwa na walioiba wawe walioiba.Regarding the plunder aspect, kwa nini Africa haiku colonise Europe na colonialization imetokea the other way around?
   
 8. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #8
  Aug 17, 2008
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Pundit,
  Good question. Hata mimi nimejiuliza swali hilo kwa siku nyingi sana. It seems we were content with where we were and what we had. Wazungu, ukizingatia hali ngumu ya maisha waliyokuwa nayo--baridi, barafu, what have you, inaonekana walilazimika kuwa more adventurous than we were. Walipokuta kwetu kuna joto na karibu kila kitu wasichokuwa nacho kwao--spices, tropical fruits, etc. wakaamua kutukwapua, siyo sisi tu na mali zetu, bali kuwafanya watumishi wao ad infinitum. Sad to say hali hiyo haijabadilika hata leo.
   
 9. T

  The Truth JF-Expert Member

  #9
  Aug 17, 2008
  Joined: Oct 21, 2007
  Messages: 618
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jared Diamond's book has been debunked see below

   
 10. T

  The Truth JF-Expert Member

  #10
  Aug 17, 2008
  Joined: Oct 21, 2007
  Messages: 618
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yes! Some nations were blessed with average high intelligence and others were not as blessed. The nations with high average intelligence tend to be rich and those with low average intelligence tend to be poor. There are few exceptions of course but in general that is the trend. Tanzania for example has an average intelligence quotient (IQ) of around 72 points. That is extremely low. With that average it's hard for the population to utilize all the natural wealth of the country i.e. fertile land, minerals etc. It's also the main reason why the population keeps electing ineffective leaders time and time again.
   
 11. Pundit

  Pundit JF-Expert Member

  #11
  Aug 17, 2008
  Joined: Feb 4, 2007
  Messages: 3,741
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Diamond's analysis is by no means final, however, it is an important one worth of note, hence my reference.

  One objection to Diamond's proposition is the fact that, in Africa's case for example, the "Germs" part of the equation was rather disadvantageous to Europeans, contrary to the case in the Americas.How then were the Europeans able to colonise Africa in the face of tse tse flies and Malaria and not the other way around?

  As stated above, Diamond's analysis is an important one and convincingly detailed, but by no means conclusively final.

  All the more reason to further this discussion.
   
 12. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #12
  Aug 17, 2008
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Adam Smith devoted his best-known book, An Inquiry into the Nature and Causes of the Wealth of Nations (1776), to the question of what makes a nation wealthy.

  His answer was straightforward.
  "Wealth is the productive capacity of a people, not its stock of gold. Productivity increases with specialization and the division of labor, capital improvement, and technological increase. Exchange under a system of "natural liberty" and directed by the invisible hand promotes wealth creation. Government interference in commerce inhibits wealth creation, as do monopolies and other restraints on commercial competition".

  Discussion:

  Country to be rich depends on how people are working hard, and the government keeps away from Business.

  Poor countries are poor because their Governments are involving in business ( here including government officials), all policies are biased towards their self interest. They don't push people to work hard. there is no proper division of labour, Political leaders are "know it all", they want to do everything even if it's out of their know how as long as attracting more wealth to them, prepare contracts and sign them, plan and execute different projects. they don't give chances for specialisation. No respect for expertise.

  The other way round is for rich countries.
   
 13. T

  The Truth JF-Expert Member

  #13
  Aug 18, 2008
  Joined: Oct 21, 2007
  Messages: 618
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  The discussion is "furthered" by looking at the intelligence of different nations. The dumber the population of a certain nation is the poorer that nation tend to be. Other factors tend to be secondary or simply a manifestation of general population's intelligence.
   
 14. T

  The Truth JF-Expert Member

  #14
  Aug 18, 2008
  Joined: Oct 21, 2007
  Messages: 618
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Don't you think that a peasant in Tanzania works "harder" (by any definition of hard work you would want to use) than say Bill Gates? In fact the government is probably more involved in Bill Gates's business than the Tanzanian government is involved in that peasant's business. So if your point is correct how come the fortunes of Tanzanian peasant and Bill Gates are not reversed?
   
 15. M

  MkamaP JF-Expert Member

  #15
  Aug 18, 2008
  Joined: Jan 27, 2007
  Messages: 7,313
  Likes Received: 1,452
  Trophy Points: 280
  mimi natoka nje nje
  AFRICA is doing the best to catch the world.Msilalamike wakulaumiwa ni BABU zetu. Maisha waliyoishi babu zetu miaka ya mwisho 1800 na mwanzo 1900 ni sawa na maisha walioishi hawa wenzetu many years before Christ.

  Before kabla kidogo nilijidai nami kua mwelevu na kuhoji hayo maandishi kabla ya Yesu nani aliyandika ,Lakini saizi najua kwanini.
  The first university here in europe is almost aged as JESUS's age ukija ya kwetu UDSM miaka ya 1960 na ukilinganisha unaona kabisa WE are on the best truck

  Na sababu kuu iliyotutofautisha na hawa watu weupe kuonekana kama wana akili sana ama wameendelea kwangu ni moja tu nayo.

  UPENDELEO MUNGU alipoipendelea AFRIKA ,hey guys its my words,
  wakivipi WEATHER
  miaka iliyopita kidogo there was no reason for africans to be thinkers, for what? there was snowing if any? there was raining? they collected and stored food,for what by then was just enough to take ur spear bow and arrows ?

  Na ukifikiria sana unaweza gundua sisi waafrika tumekuja siku za hivi karibuni tu hapa DUNIANI.
  chukulia nchi za ulaya populations zao ni kubwa mno lakini rate yao ya kuzaa ni ndogo huwezi linganisha na ya kwetu,kwanini wao population ni kubwa kwa sababu wameanza siku nyingi hapa duniani
  Angalia nchi kama Poland is 3 times less than TZ lakini populationi yao ni 40 Milion.japo kuna Extinction ndogo ndogo kama Nigeria lakini bado.Angalia Congo DRC its the bigest country karibu half europe na angalia population yake.

  Nadhani tunaenda mwendo sahihi mwendo wa rocketi baadae mambo yata settle on maana EUROPE now is full saturated will never move any more.but we still move the way forward
   
 16. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #16
  Aug 18, 2008
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,416
  Trophy Points: 280
  The answer here is simple: Miafrika Ndivyo Tulivyo and that's the truth. You can deny it, reject it, rationalize it in whichever way that suits you or pleases you but all of that is just talk and talk only (in Africa's case) won't change the truth.
   
Loading...