Why April fools' day

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Oct 28, 2012
20,042
23,487
Yeyote auaminiye uongo wakati anaufahamu ukweli,we call this man a fool.

Back to the heading:

April 1st is named FOOLS' DAY, after Steve April. He was born on 1st April 1579. He did 105 businesses in his lifetime. He lost all his father's assets, and so everyone started calling him father of the fools.

At 19, he married a 61-year-old woman who divorced him after a year because of his foolishness. He used to read all kinds of fake stories like you are doing now.

Happy April Fools' day !
 
Huo wenyewe ni uongo pia.

Ngoja nilog off, nitarudi kesho.

Siku ya leo wameiharibu.

"Ninyi ni wa baba yenu, Ibilisi, na tamaa za baba yenu ndizo mpendazo kuzitenda. Yeye alikuwa mwuaji tangu mwanzo; wala hakusimama katika kweli, kwa kuwa hamna hiyo kweli ndani yake. Asemapo UONGO, husema yaliyo yake mwenyewe; kwa sababu yeye ni MWONGO, na baba wa huo." - Yohana 8:44
 
Ukweli kuhusu Fools day siku hii ilianza kusherekewa kitambao kwenye mwaka 1582..Kabla ya mwaka huu sherehe za mwaka mpya zilikuwa zikifanyika tarehe 1 April kila mwaka hadi pale Pope Gregory wa XIII alipoanzisha mfumo mpya wa Calender ambayo ndiyo tunaoufuata mpaka leo (Gregorian Calender) kuwa mwaka mpya hautokuwa 1st April tena itakuwa 1st of January..Na enzi hizo kulikuwa hakuna mawasiliano ya haraka kama Redio na Television kwahiyo kuna wengine waliendelea kusherekea mwaka mpya 1st of April kwa kukosa taarifa sahihi ama wengine walipata taarifa lakini hawakutaka kuamini taarifa hizo...Sasa kwa wale walioamin wakawaita wale waliokuwa wanaendelea kusherekea mwaka mpya 1st of April wajinga..Na utamaduni ukaanza pale kuwa 1st April ni Fools Day..
 
Back
Top Bottom