VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,136
- 17,871
Aliyekuwa mshambuliaji wa timu ya soka ya Manchester City ya Uingereza (kwasasa yuko Nice ya Ufaransa),Mario Balloteli haishiwi mambo. Siku moja aliifungia bao timu yake ya Man City dhidi ya mahasimu wao Man United. Akaonesha fulana yake iliyoandikwa ' Why always me?'
Balloteli alifikisha ujumbe wake kwa namna hiyo. Bungeni Dodoma,kunatokea Wabunge kukamatwa,kusimamishwa na hata kuzolewa msobemsobe hadi nje. Karibu wote ni wa upinzani. Na hata hoja za Wabunge wa Upinzani,hasa hoja za dharura na miongozo,huzimwa mazima.
Mara zote wa matukio hayo,kiti cha Spika hukaliwa na Naibu Spika,Dr. TULIA ACKSON MWANSASU. Why always her?
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam