Why Abdallah!!!????

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,555
8,552
Hivi hili neno Abdallah kichwa wazi lilitokana na nini na kwanini haikuwa athumani,juma,etc???
 
Hivi hili neno Abdallah kichwa wazi lilitokana na nini na kwanini haikuwa athumani,juma,etc???

Na kwanini kulikuwa na wimbo " Athumani x 3... Mk......mpana"? kwa nini iswe rashidi au josefu
Hapo umefunga kopo lako kwenye mti umekazana kuimba

Na ule wa " Amina .. amina kadala...........Namuogopa Ally ana kijiti kinene...." Kwa nini Amina na Ally na siyo Juma na Asha:A S-alert1:
 
sio uulize majina ya kiislamu KK uliza na John, David, Richard nk kwanini sio hao acha hizo
 
subhana llah!!! mbona hivyo sasa na beside wewe ndio mafrudh unisaidie mana ndio ulioanzisha topic,,usifanye uchoyo shauri yako,,

Hapo kwenye blue nieleweshe kwanza!!nitakuelimisha zaidi.Hata ukitaka kumwona huyo wanaye mtajataja maelezo yake yapo!
 
subhana llah= ni neno la kumtanguliza allah kiupande wa mtu islam kwa mshangao alopata na kuanza kunza kumtanguliza allah,,,,,
mafrudh= ni neno la kiarabu,,,ambapo mimi nimeteleza kuliandika hapa kawa ajili nilikuwa sijui nini la swhili language lakini nishaletewa sms na rafiki yangu kuwa linamaanisha kwa kiswahili inatakikana au inatakiwa...
Hapo kwenye blue nieleweshe kwanza!!nitakuelimisha zaidi.Hata ukitaka kumwona huyo wanaye mtajataja maelezo yake yapo!
 
Ni kama ilivyokuwa ikiitwa timu ya tz " KICHWA CHA MWENDAWAZIMU"

Kwa nini haikuwa kenya, uganda, burundi etc?
 
Na kwanini kulikuwa na wimbo " Athumani x 3... Mk......mpana"? kwa nini iswe rashidi au josefu
Hapo umefunga kopo lako kwenye mti umekazana kuimba

Na ule wa " Amina .. amina kadala...........Namuogopa Ally ana kijiti kinene...." Kwa nini Amina na Ally na siyo Juma na Asha:A S-alert1:

Huu wimbo ulikuwa ukiwaburudisha sana watoto wa mtaani kwetu mwanzoni mwa miaka ya 80.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom