Who's the greatest scientist

bitimkongwe

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2009
Messages
3,055
Likes
241
Points
160

bitimkongwe

JF-Expert Member
Joined Oct 21, 2009
3,055 241 160
Katika karne gani na fani gani?

Mfano, kuna wengine wanasema Isaac Newton (Physics)
Wengine wanamtaja Albert Einstein na theory zake za relativity ambazo mpaka leo bado hazijaeleweka.
Kuna na yule mwengine wa Mathematics (nimemsahau jina) ambaye amepata ugonjwa wa mascular dystrophy na ameunganishwa na computer ili sauti yake iweze kusikika, lakini kichwani kunacharge ile mbaya!
Kuna na akina Watson waliovumbua DNA kwamba ni double helix....

Mimi natoa changamoto tu.......
 
Azimio Jipya

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2007
Messages
3,370
Likes
16
Points
135

Azimio Jipya

JF-Expert Member
Joined Nov 27, 2007
3,370 16 135
Katika karne gani na fani gani?

Mfano, kuna wengine wanasema Isaac Newton (Physics)
Wengine wanamtaja Albert Einstein na theory zake za relativity ambazo mpaka leo bado hazijaeleweka.
Kuna na yule mwengine wa Mathematics (nimemsahau jina) ambaye amepata ugonjwa wa mascular dystrophy na ameunganishwa na computer ili sauti yake iweze kusikika, lakini kichwani kunacharge ile mbaya!
Kuna na akina Watson waliovumbua DNA kwamba ni double helix....

Mimi natoa changamoto tu.......
Thanx BitimK'

Ni Albert Einstein ..Greatest all the time

kama ulivyosema...

Kwenye Theory yake hiyo maarufu ya E= MC2

alikuja kuimodify... na kupata kitu kinaitwa ...COSMOLOGICAL CONSTANT...

hiyo constant hiyo.... hakuna bingwa mwingine yeyote aliyeikaribia..

Inaaminika inaweza kuunganisha equations nyinge zote walizogundua mabingwa wengine na kutengeneza equation moja tu ... unifying equation ...amabayo ndio kazi kubwa leo hii..yaani kuweko universal equation kuunganisha equation zoooote ..!wengi wanaamini itatokea kwnye hivo consatant ya huyo shujaa...

gonga hapa: Einstein field equations - Wikipedia, the free encyclopedia
 
Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Messages
79,380
Likes
43,062
Points
280
Age
28

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined May 15, 2006
79,380 43,062 280
Katika karne gani na fani gani?

Mfano, kuna wengine wanasema Isaac Newton (Physics)
Wengine wanamtaja Albert Einstein na theory zake za relativity ambazo mpaka leo bado hazijaeleweka.
Kuna na yule mwengine wa Mathematics (nimemsahau jina) ambaye amepata ugonjwa wa mascular dystrophy na ameunganishwa na computer ili sauti yake iweze kusikika, lakini kichwani kunacharge ile mbaya!
Kuna na akina Watson waliovumbua DNA kwamba ni double helix....

Mimi natoa changamoto tu.......
Khee kheeee.....wote wazungu.....
 
Forum statistics

Threads 1,204,200
Members 457,149
Posts 28,145,756