#COVID19 WHO yaonya kuwa janga la COVID-19 litaendelea hadi 2022

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,000
9,862
Janga la Covid "litaendelea kwa mwaka zaidi ya inavyotakiwa" kwa sababu nchi masikini hazipati chanjo zinazohitajika, Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) linasema.

Dkt. Bruce Aylward, kiongozi mwandamizi wa WHO, alisema inamaanisha janga la COVID-19 linaweza "kujivuta kwa urahisi hadi 2022".

Chini ya 5% ya idadi ya watu wa Afrika wamepewa chanjo, ikilinganishwa na 40% katika mabara mengine.

Uingereza imetoa chanjo zaidi ya milioni 10 kwa nchi zinazohitaji. Imeahidi kutoa jumla ya milioni 100.

Dk Aylward alitoa wito kwa nchi tajiri kutoa nafasi zao kwenye foleni ya chanjo ili kampuni za dawa ziweze kutanguliza nchi zenye kipato cha chini badala yake.
 
Wasitutishe, wao wenyewe wanaopata chanjo pure/grade one wanakufa kwa korona, Roho ni ya MUNGU hata ikindoka kwa hila italipwa hesabu...

Corona my foot😠😠😠
 
Back
Top Bottom