WHO yajibu tuhuma za Rais Donald Trump, yasema huu sio muda wa kuacha kutoa fedha, yakanusha kuipendelea China

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Baada ya Rais wa Marekani, Donald Trump kutishia kusitisha kutoka fedha kwa Shirika la Afya Duniani (WHO) kwa madai kuwa Shirika hilo halikutoa tahadhari kuhusu janga la Corona virus mapema, na kwamba limeshindwa kudhibiti mlipuko huo na limekuwa na upendeleo kwa nchi ya China, WHO imejibu na kusema huu sio wakati sahihi wa kusitisha kutoa fedha

WHO pia imesema wamefanya kazi na China kama walivyofanya na nchi nyingie zilizoathirika zaidi na ugonjwa wa COVID-19 ikiwemo Spain

======

The WHO responded Wednesday to President Donald Trump’s threat to cut its funding, saying the move would not be appropriate during the global coronavirus pandemic.

“We are still in the acute phase of a pandemic so now is not the time to cut back on funding,” Dr Hans Kluge, WHO regional director for Europe, told a virtual briefing, according to Reuters.

A day earlier, Trump threatened to withhold funding from the United Nations’ health agency, claiming it got “every aspect” of the coronavirus pandemic wrong.

“With regard to us, they’re taking a lot of heat because they didn’t want the borders closed, they called it wrong,” Trump said at his daily briefing. “They really called, I would say, every aspect of it wrong.”

As of Wednesday, the number of confirmed coronavirus cases in the U.S. surpassed 400,000, according to figures provided by NBC, with 12,864 fatalities nationwide.

It’s uncertain how the U.S. would withhold funding. Congress has already authorized $122 million for the WHO for this fiscal year, and while Trump has proposed only $58 million of funding in fiscal year 2021, Congress is unlikely to authorize such a drastic funding cut, especially in the the middle of the pandemic.

The president also criticized the WHO’s initial response to the outbreak, which originated in Wuhan in China in late 2019, and the time it took to declare the outbreak a global pandemic, on March 11.

“Take a look, go through step by step. They said there’s no big deal, there’s no big problem. There’s no nothing, and then ultimately when I closed it down, they said I made a mistake in closing it down and it turned out to be right,” Trump said.

The WHO declared a global health emergency on Jan. 30, nearly a month before Trump tweeted that “The Coronavirus is very much under control in the USA.”

Before his White House news conference, Trump lambasted the WHO on Twitter, calling it “China centric.”

Another official at the WHO rejected that criticism.

“It was absolutely critical in the early part of this outbreak to have full access to everything possible, to get on the ground and work with the Chinese to understand this,” Dr. Bruce Aylward, a senior advisor to the WHO director-general, said at the virtual briefing Wednesday, Reuters reported.

“This is what we did with every other hard hit country like Spain and had nothing to do with China specifically.”
 
In fact WHO walikuwa sahihi kuconcentrate kwa kina sehemu chimbuko la kirusi kilipotokea ili kisiwe kusambaa sehemu nyingine,kutoa taadhali kwa Dunia kuchukua hatua dhidi ya janga la ugonjwa huo.
Pengine nchi za Dunia ukiondoa Uchina zilidharau taadhali za mlipuko huo huku nyingine zikikejeli na nyingine zikisahau na kudhani kuwa janga hilo ni la Uchina pekee.
 
Lakini huyu Trump mwanzoni wakati wataalam wanashauri iandaliwe mipango kujikinga na huu ugonjwa si aliona ni siasa akasema ni hoax na kulihusisha na upinzani wake na democrats! Leo ngoma imeingia inawatafuna kama ng'ombe kaangukia chimbo la pumba anaanza vitisho kwa W.H.O na kuwalaumu Wachina. Hili taifa mbona kama sio superpower tena maana kucha kulia na kulalamika..
 
Unacho sema ni sahihi kabisa - Trump alipuuzia sana suala la COVID-19 katika Taifa lake, kibao kilipo mgehukia ameanza kulahumu mataifa mengine specifically Uchina.

Team nzima ya Uongozi wa Trump ina hila za ajabu sana, si ajabu Trump ameanza mapema kuishambulia W.H.O kwamba hipo karibu sana na Uchina ili China au Ujerumani wakiwahi kuingiza sokoni chanjo ya COVID-19 ikawa approved na W.H.O, basi Trump ataanza kulalamika kwamba, mnaona? Niliwambia W.H.O inapendelea sana Uchina, Trump anataka ku-scale down USA funding to W.H.O wakihofia kwamba fedha hizo zinaweza kutumika kununulia chanjo kutoka kwenye makampuni ya Uchina na Ujerumani, na kwa kuwa makampuni ya USA bado yako nyuma sana katika suala la tafiti za chanjo, USA ina haha mpaka wamefikia hatua ya ku-hack Database za kampuni ya Ujerumani ili kuiba siri za chanjo iliyo fanyiwa na utafiti wa Kampuni ya Ujerumani, juzi juzi hapa kampuni ya Ujerumani ililalamika sana kuhusu wizi ulio tekelezwa na US Intel agencies wizi huo ulifanyika baada ya Kampuni ya Ujerumani kukataa kununuliwa na Serikali ya Trump.

Mimi sioni sababu nyingine ya msingi ambayo inamsukuma Trump na team yake kutaka kupunguza mchango wa fedha katika taasisi ya W.H.O zaidi ya sababu tajwa hapo juu.
 
Donald Trump alikuwa anacheza cheap politics!!

Wakati janga limepamba moto yeye alikuwa anafanya mizaha!

Mara Chinavirus!

Mara Wuhanvirus

Mara chloroquine inatibu Chinavirus!!

Mara US ina watalaamu kibao na wapo tayari kwenda kuisaidia Iran a moment wakiwaomba kufanya hivyo!!

Na hata alipohojiwa kuhusu coronavirus ndani ya US, kwa kujiamini kabisa akajibu wao wana wataalamu wa kutosha na kwamba walikuwa wameidhibiti corona kwa sababu kuna mgonjwa mmoja tu (wakati huo) tena anatoka China!!

Baada ya mambo kuwa out of countrol, leo hii anaanza kukamata watu uchawi!!

Kama nilivyowahi kusema mara kadhaa... nchi zile zile ambazo zilifanya sana mizaha ndizo zimetandikwa zaidi! Hapa kuna China yenyewe, Iran, Spain, Italy, na hatimae Marekani!!

Takwimu zinasema African Americans ndio wanaathirika zaidi! Hawa nao walileta sana mizaha kwenye coronavirus! Wakati Idris Elba anajitangaza kwamba amekutwa positive, African Americans wakawa wanasema Idris amelipwa pesa na Wazungu ili kuwatisha black!!

Ukishafanya mzaha, hautakuwa ni mtu wa tahadhali! Usipokuwa mtu wa kuchukua tahadhali, COVID-19 akipita karibu yako hakuachi...

Tanzania nako kuna mizaha kibao... eti coronavirus inawaathiri sana wazee kwahiyo haina haja ya kuwa na hofu!! Yaani wanaoongea as if bibi na babu zao ni vijana!!!

Mbaya zaidi wanashindwa kufahamu issue hapa sio uzee bali ni uhaba wa kinga!!

Linapokuja suala la upungufu wa kinga, kwa Afrika hakuna mzee wala kijana, kwa sababu wakati wazee wana upungufu wa kinga kutokana na uzee wao, mamilioni ya waaathirika wa HIV/AID kwa Afrika ni vijana!!

Kutokana na ukweli huo, ikitokea COVID-19 ime-hit hard in Africa, tusishangae watakaoongoza kufa ni vijana badala ya wazee!!!

Juzi tu hapa Iddy Mbita kang'oka wakati 50 hajafika!!!
 
Kutokana na ukweli huo, ikitokea COVID-19 ime-hit hard in Africa, tusishangae watakaoongoza kufa ni vijana badala ya wazee!!!

Juzi tu hapa Iddy Mbita kang'oka wakati 50 hajafika!!!
Covid-19 inaua watu wengi ambao immunity yao iko compromised, na wazee wengi kwasababu ya uzee wanaangukia kwenye kundi hili, vijana wenye underlying diseases nao wanaangukia kundi hili. Waliokufa Italy kuna kipindi average age ilikuwa 79yrs. USA wanaokufa asilimia kubwa ni blacks ambao wengi wana magonjwa kulingana na lifestyle na ugumu wa maisha maeneo wanayokaa.

Europe in general kuna population kubwa ya wazee. Kama Afrika iki-hit hard na vijana wakifa wengi basi wengi ni wale wnye underlying diseases.
 
Donald Trump alikuwa anacheza cheap politics!!

Wakati janga limepamba moto yeye alikuwa anafanya mizaha!

Mara Chinavirus!

Mara Wuhanvirus

Mara chloroquine inatibu Chinavirus!!
Hapo kwenye korokwini Trump alimaanusha hasa. Mpaka leo US wameyajaza makorokwini nchini mwao na hawaruhusu kusafirishwa nchi nyinginezo, kitu ambacho jamii ya kimataifa yaona ni ubinafsi wa hali ya juu maana hiyo chorokwini ni dawa muhimu mno ktk kutibu ugonjwa fulani 'lupus' unadhoofisha kinga ya mwili.

Kuna mmama alikuwa kwenye dozi za korokwini, kutibu hiyo lupus, alipoenda kuonana tena na dokta wake kwa ajili ya kupata dozi zaidi za korokwini akaambiwa sasa hivi zimezuiwa. Alimwagz machozi aisee
 
Hapo kwenye korokwini Trump alimaanusha hasa. Mpaka leo US wameyajaza makorokwini nchini mwao na hawaruhusu kusafirishwa nchi nyinginezo, kitu ambacho jamii ya kimataifa yaona ni ubinafsi wa hali ya juu maana hiyo chorokwini ni dawa muhimu mno ktk kutibu ugonjwa fulani unadhoofisha kinga ya mwili.
Na wagonjwa wa corona waliokunywa hizo chlorokwini kama alivyoshauri "Dr. Trump'' wameripotiwa kupata madhara.
 
Covid-19 inaua watu wengi ambao immunity yao iko compromised, na wazee wengi kwasababu ya uzee wanaangukia kwenye kundi hili, vijana wenye underlying diseases nao wanaangukia kundi hili. Waliokufa Italy kuna kipindi average age ilikuwa 79yrs. USA wanaokufa asilimia kubwa ni blacks ambao wengi wana magonjwa kulingana na lifestyle na ugumu wa maisha maeneo wanayokaa.

Europe in general kuna population kubwa ya wazee. Kama Afrika iki-hit hard na vijana wakifa wengi basi wengi ni wale wnye underlying diseases.
Na hicho ndicho namaanisha; kwamba issue hapa sio uzee bali uoungufu wa kinga! Kwavile wenzetu wanazaliwa na kukulia katika mazingira mzuri, lishe mzuri, huduma bora za afya, ndo maana tunaona victims wakubwa ni wazee kwavile tayari miili yao imeshachoka!

Lakini Afrika yetu... lishe duni, huduma za afya duni, maradhi kibao, HIV, TB, you name it... it's obvious victims hawatakuwa wazee peke yake!
 
Hapo kwenye korokwini Trump alimaanusha hasa. Mpaka leo US wameyajaza makorokwini nchini mwao na hawaruhusu kusafirishwa nchi nyinginezo, kitu ambacho jamii ya kimataifa yaona ni ubinafsi wa hali ya juu maana hiyo chorokwini ni dawa muhimu mno ktk kutibu ugonjwa fulani 'lupus' unadhoofisha kinga ya mwili.

Kuna mmama alikuwa kwenye dozi za korokwini, kutibu hiyo lupus, alipoenda kuonana tena na dokta wake kwa ajili ya kupata dozi zaidi za korokwini akaambiwa sasa hivi zimezuiwa. Alimwagz machozi aisee
The problem ni kwamba, wakati Trump anatangaza hadharani kwamba chloroquine inatibu COVID-19, uhalisia ni kwamba bado walikuwa kwenye majaribio kwa available resources! Kwa mtu kama Rais, tena wa taifa kubwa hakutakiwa kutangaza hadharani kwamba chloroquine inatibu COVID-19 wakati hata kupitishwa na mamlaka husika haijapitishwa hadi kesho!!

Ni kutokana na hilo ndio maana hata Watalaamu waliokuwa kwenye team ya kupambana na COVID-19 wa US walimpinga Trump hadharani!!
 
Back
Top Bottom