WHO yailaumu Tanzania kutokutoa ushiriano mzuri takwimu za COVID19

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
49,062
103,264
DW wameripoti kuwa Wakati nchi nyingi Afrika zinatoa takwimu kila siku,Tanzania imekuwa haitoi takwimu hizo za wakati.

Authorities in the country have been lax in issuing updates on the number of coronavirus infections, while President John Magufuli has stubbornly refused to introduce stringent measures to slow the spread of the virus.

The World Health Organization (WHO) has chided Tanzania for its ongoing lack of cooperation and transparency in the global fight against the COVID-19 pandemic.

After four days of silence, officials released its latest update on the number of COVID-19 infections on Wednesday. Almost all African countries release daily reports, including their current number of infections, fatalities and recoveries.

In the update, Prime Minister Kassim Majaliwa said the country of 56 million people had now recorded 480 cases of COVID-19 and 16 deaths. The new tally represents a 69% jump in just five days.

Majaliwa offered no explanation for the government's silence on coronavirus numbers, though he cautioned against the "tendency of some people to issue false statistics which leads to unnecessary unrest in society."
 
Bwana Yule wa WHO ndo maana Trump amegoma kuwapa hela. Hivi nyie watu wa WHO Mnaushahidi na mnachokiongea. Kwann serikali ifiche ukweli? Tumieni busara jaman

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeelewa lkn concern ya WHO?
the main issue hapa ni laxity ya Govt kwenye updates ya data. Wamelinganisha na nchi nyingine kwamba zinatoa daily updates za takwimu wakati TZ haifanyi hivyo? Unataka ushahidi upi hapo? Tupe wewe ushahidi wa update ya juzi, jana na leo....!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kweli kuna mambo mengine ya kijinga tunayoyafanya nchi hii mpaka unashangaa tuna laana gani!! Hivi tunapungukiwa nini tukienda sambamba na miongozo iliyotolewa na taasisi rasmi za kimataifa kama WHO?

Tumekuwa maskini wa mali mpaka kifikra. Tumekuwa kama vichaa wanaowaona watu waliowazima hawana akili, bali wao ndio mashujaa na wenye akili. Ndiyo maana si ajabu kumwona punguani akipita katikati ya barabara na magari yakimkwepa. Magari yanapomkwepa, yeye anaamini ni kwa sababu magari yale hayana uwezo wa kumwua.

Hivi akina Mkapa, Mwinyi na Kikwete, wanashindwa kabisa kumwambia Rais wetu kuwa tunavyoenenda, sivyo? Twende na wenzetu, hatupo pekee yetu sayari hii. Hatuwezi kufanikiwa kwa kujitenga na wengine.
 
Mbinyo kutoka kwa nchi jirani, jumuiya ya kimataifa na taasisi za kimataifa unazidi kuongezeka kwa Tanzania

May 1, 2020
Kampala, Uganda

Health Ministry declares Isingiro, Mutukula that lie along the Uganda and Tanzania border high-risk areas

The Ministry of Health has declared Mutukula border and Isingiro as high risk areas for COVID-19, after several foreign nationals crossing through turned positive for the pandemic. Touring the areas, the ministry's permanent secretary Dr Diana Atwiine also called for more attention, especially in the districts Mbarara, Ntungamo, Isingiro, Rakai, and Kyotera that lie along the Uganda and Tanzania border.
Source : NTV Uganda
 
Bwana Yule wa WHO ndo maana Trump amegoma kuwapa hela. Hivi nyie watu wa WHO Mnaushahidi na mnachokiongea. Kwann serikali ifiche ukweli? Tumieni busara jaman

Sent using Jamii Forums mobile app
JF muwe mnapima uelewa wa watu kwanza kabla ya kuwaruhusu kuwa member, lasivyo mnajaza mauchafu huku alafu inaondoa ile dhana husika ya home of great thinkers , watu kama hawa wanatakiwa wabakie hukohuko Facebook, huku si mahala pao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom