who will cry for our environment?? ( ni nani atatoa machozi ya kweli kulilia mazingira yetu)?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

who will cry for our environment?? ( ni nani atatoa machozi ya kweli kulilia mazingira yetu)??

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by dan ki dan, Mar 26, 2011.

 1. d

  dan ki dan Member

  #1
  Mar 26, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Angalia mabadiliko ya tabia nchi linganisha na msururu wa mafanikio ya wanasiasa wanapojisifia kuwa wamewezesha ujenzi wa madarasa kadhaa, zahanati, majengo kadhaa ya maofisi, Upanuzi/ukuaji wa shughuli za kilimo, ujanzi wa miundombinu kama barabara N.k shughuli hizi zote na nyingzinazolingana nazo huambatana na uharibifu wa Mazingira ni nani atakuwa katikati ya mafanikio haya na kuyalinganisha na uharibifu akasimama kutetea maendeleo haya yaendane na juhudi za kutatua changamoto za uharibifu wa Mazingira.............nakaribisha maoni
   
 2. Mulama

  Mulama JF-Expert Member

  #2
  Nov 7, 2013
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 2,458
  Likes Received: 710
  Trophy Points: 280
  Tatizo ni kwamba hakuna mwenye ufahamu na athari hizi za mazingira kwenye afya ya binadamu, kwa mfano serikali inakazania kuongeza idadi ya hospitali, zahanati na vituo vya afya bila kuzingatia kuwa kuugua ni sababu ya kushindwa kudhibiti chanzo cha magonjwa na kwamba hata ujenge hospitali ngapi bila kuzuia chanzo cha maambukizi hospitali hizo hazitatosha.
  Kwamba uharibifu wa mazingira ni chanzo cha mabadiliko ya tabia nchi na mabadiliko ya tabia nchi ni chanzo cha magonjwa mbalimbali!
   
Loading...