WHO wawe wakweli, Chanjo ya Corona haikupitia hatua za kisayansi kuruhusiwa kutolewa kwa binadamu

ZALEMDA

JF-Expert Member
Aug 15, 2017
1,647
1,885
Kila dawa inapotengenezwa lazima ipitie clinical trial ili ithibitike kuwa inafaa kutolewa kwa binadamu. Leaflet yake itaonyesha mechanism of action, route of administration, bioavailability, and possible side effects

Tumeona sehemu nyingi ulimwengu vaccine ya AstraZeneca ikikataliwa baada ya kusababisha vifo kutukana na damu kuganda mwilini hasa Kwenye ubongo. Swali ni je, Leaflet ya chanjo ya AstraZeneca inaonyesha possible side effects za chanjo hiyo?

Swali la pili ni kwani chanjo hii inafaa kwa watu umri zaidi ya 18 na sivinginevyo?

Soma hii:

The U.K. reports more blood-clotting cases in people who received the AstraZeneca shot
 
Moja ya watu wajinga wewe ndo wa kwanza na hufuatilii mambo.

Vaccine zote zimekua authorize kwa emergency use na hii ni kwa sababu watu walikuwa wanakufa na corona.

Kwa hiyo ulitaka wakae miaka mitano au kumi ya pharmacovigilance huku watu wakiendelea kupuputika, Sasa uchumi wa dunia siuta collapse kabisa usiwe unakurupuka.
 
Acha uongo (kuwa chanjo hazikupitia hatua hizo) na kuongelea vitu kiujumla jumla pasi na kuweka data.

Hizo blood clots zimetokea kwa watu wangapi na ktk idadi gani ya watu waliokwishapata chanjo hiyo?

Je nchi ya Uingereza (kulikotokea Visa hivyo) na nyinginezo baada ya uchunguzi wamesemaji juu ya usalama wa chanjo hiyo?

Je Mamlaka husika inayodhibiti maswala ya chanjo na tiba ktk the European Union wamesemaje juu ya uchunguzi wao kuhusu matukio hayo na usalama wa chanjo hiyo?

Je USA imesemaje baada ya kufanya utafiti juu ya uwezo na ufanisi wa chanjo ya AstraZeneca?

Maswali hayo yote majibu yake nayafahamu na yanakinzana na huo uongo wako.
 
Ni hatari sana bado kuhusu madhara yanayojitokeza polepole baada ya muda.

Watu wamekimbilia kutengeneza faida na sio kuokoa maisha.
 
Acha uongo (kuwa chanjo hazikupitia hatua hizo) na kuongelea vitu kiujumla jumla pasi na kuweka data.

Hizo blood clots zimetokea kwa watu wangapi na ktk idadi gani ya watu waliokwishapata chanjo hiyo?

Je nchi ya Uingereza (kulikotokea Visa hivyo) na nyinginezo baada ya uchunguzi wamesemaji juu ya usalama wa chanjo hiyo?

Je Mamlaka husika inayodhibiti maswala ya chanjo na tiba ktk the European Union wamesemaje juu ya uchunguzi wao kuhusu matukio hayo na usalama wa chanjo hiyo?

Je USA imesemaje baada ya kufanya utafiti juu ya uwezo na ufanisi wa chanjo ya AstraZeneca?

Maswali hayo yote majibu yake nayafahamu na yanakinzana na huo uongo wako.
Kwa sababu umeshikiwa akili na mzungu na wewe nyani ndiyo maana unasema hayo.tuulize sisi wasomi .empty head can not think
 
Ndiyo maana tunasema wasitulazimishe, waendeleee kuuzia wanaozihitaji, sisi kwa sasa tunafanya utafiti wa kutumia steaming ak.a nyungu japo kuna doctor fake anasema Muhimbili waachane na nyungu huyu hana alitakiwa akafanye kazi WHO.
 
Moja ya watu wajinga wewe ndo wa kwanza na hufuatilii mambo
Vaccine zote zimekua authorize kwa emergency use na hii ni kwa sababu watu walikuwa wanakufa na corona.

Kwa hiyo ulitaka wakae miaka mitano au kumi ya pharmacovigilance huku watu wakiendelea kupuputika, Sasa uchumi wa dunia siuta collapse kabisa usiwe unakurupuka
Nafirkiri wewe ndo ulitakiwa uitwe mjinga na huyo uliyemuita wewe mjinga,
 
Kwa sababu umeshikiwa akili na mzungu na wewe nyani ndiyo maana unasema hayo.tuulize sisi wasomi .empty head can not think
Jibu maswali kijana, acha taarabu.

Msomi wa Bhuza umechangia nini ktk kuokoa maisha ya waBhuza wenzio dhidi ya corona?

Hao wazungu ndio wanakupa jeuri ya kutumia simu na teknolojia yao kupost huo utopolo.

Msomi waandika habari kijuujuu kama wakimbizwa pasi na kuweka rejea (links/references)
 
Ngoja nikusaidie baadhi ya majibu.

1. Nchi zote zilizofanya uchunguzi wa matukio ya blood clots baada ya chanjo ya AstraZeneca hazijasema kuwa chanjo hiyo ndiyo yasababisha. Matukio ya blood clots aina kadhaa pia hutokea naturally ktk population ktk rate (asilimia) fulani na ikiangaliwa asilimia ile ya kawaida haijafikiwa/kuzidiwa.

2. Mpaka March 24 kulitokea jumla ya visa 30 nchini Uingereza vya kuganda kwa damu kati ya dozi million 18.1 za AstraZeneca walizopatiwa watu, na mamlaka za Uingereza zasema faida za AstraZeneca ktk kukinga corona zashinda mbaali madhara machache yanayoweza patikana hadi sasa. Na huo pia ndio msimamo wa Jumuia ya Ulaya.

Link: UK: Benefits outweigh risks for AstraZeneca despite 7 deaths

Screenshot_20210405-091910_Chrome.jpg
 
View attachment 1743828
Hizo zaweza kuwa short term complications. What about longterm complications?

And why vifo vya watu 30 hapo UK ionekane si kitu?ingekuwa mwanao,babako,mamako ungeshabikia kama unavooneka ukifanya?
 
Hizo zaweza kuwa short term complications. What about longterm complications?

And why vifo vya watu 30 hapo UK ionekane si kitu?ingekuwa mwanao,babako,mamako ungeshabikia kama unavooneka ukifanya?
Waonekana hufatilii mambo, nani alikwambia watu hao 30 wote wamekufa?

Kuganda kwa damu haimaanishi kuganda kwa damu yote kama tafsiri ya haraka inavyokuja ktk maneno ya kiswahili.

Hizo complications unazoongelea wao ktk tafiti zao hawakuziona, kama wewe umefanya tafiti ktk hizo ni vema utujuze na utuwekee link ya publication(s) zako.

Acha mihemko, wale ambao kwao yametokea matukio hayo wanasema ni salama kutumia chanjo hiyo. Sasa wewe wa Bhuza waminyana na habari za kuungaunga

SmartSelect_20210405-094045_Chrome.jpg
 
Na kwa kukusaidia majibu ya maswali mengine uliyoyashindwa, USA ilifanya tafiti ikihusisha watu 32,000 kuangalia ubora, ufanisi na usalama wa chanjo hiyo ya AstraZeneca (haitengenezwi USA), matokeo yameonesha chanjo hiyo ni salama na ina ubora ktk kuzuia corona.

Halafu msomi wa Nanyamba watuletea stori za kwenye vijiwe vya kahawa.

Link : Covid vaccine: US trial of AstraZeneca jab confirms safety

SmartSelect_20210405-095122_Chrome.jpg
 
View attachment 1743845
Hahahaaaa.confirm safety. Which means they were not sure if the vaccine was safe.that is why I said they are doing clinical trials
 
Hahahaaaa.confirm safety. Which means they were not sure if the vaccine was safe.that is why I said they are doing clinical trials
Utakuwa huelewi mambo yalivyo.

Chanjo hutestiwa usalama wake kabla hata kufikia kuidhinishwa matumizi kwa watu.

Inapokuja sokoni ikawa ktk matumizi endapo ikitokea jambo geni, uchunguzi hufanyika kuangalia kama kuna uhusiano wa hilo jambo geni na chanjo hiyo. Na hicho ndicho kilichofanyika.

Tofautisha chanjo na vitu vya ajabu ajabu kama covid organic n.k.
 
Kisha umesema sehemu (nchi) nyingi zimezuia matumizi ya chanjo ya AstraZeneca. Naomba ututajie hizo nchi nyingi.

Ila kwa kukusaidia mwanzo tu ni kuwa nchi za Ulaya (UE) hufanya mambo yao kwa mashauriano ya karibu sana. Ilipotokea matukio ya kuganda damu ktk baadhi ya nchi, nchi nyingine zikachukua pia tahadhari ya kusitisha kwa muda matumizi ya chanjo hiyo ili kupisha uchunguzi.

Majibu ya uchunguzi yalipoonesha hakuna uhusiano kati ya chanjo hiyo na matukio ya kuganda kwa damu, nchi zile zikarejea tena ktk matumizi ya chanjo husika.

Link: Europe’s Drug Regulator Says AstraZeneca Vaccine Is Safe

SmartSelect_20210405-100740_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom