Who was the best DPP in Tanzanian history and why?

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,460
39,928
I would argue that Eliezer Feleshi is the worst DPP in TZ history or one of the worst.. but who could be named as the best DPP. A person who prosecuted most cases of so much public interest. Tumekuwa na maDPP wangapi kwanza since independence na rekodi zao. Anybody know?
 
Hii ni moja ya posts ambazo ni vigumu sana kuiona mantiki yake. Huwezi ukasema so and so is the worst DPP wakati uleule ukauliza idadi ya maDPP na rekodi zao. Nilitegemea kabla ya kuja na hii generalisation mtu angejisumbua kutafiti kidogo na kulinganisha records za hao anaosema maDPP na kesi zilizopelekwa kwao ukihusiha pia viwango vya ushahidi kabla ya kutoa hukumu ya mwisho. Tena kwa uelewa wangu, Feleshi ndio DPP pekee ambaye kapeleka mahakamani kesi nyingi ambazo zinahusu watumishi wa ngazi za juu serikalini kama hiyo ndiyo tafsiri ya maslahi ya umma. Ni vyema wakati mwingine tuweke hisia pembeni tujenge hoja zetu kisayansi.
 
Madaraka ambayo ni kikwazo kikubwa kwa kazi za watu wengine kama TAKUKURU, CID. Hivyo ndivyo ninavyokifahamu. Madaraka ambayo ni rahisi kutumiwa na aliyemteua kuzima mambo mengi tu kwa maslahi binafsi. Moja ya hitaji kubwa la KATIBA mpya ni cheo hiki na madaraka yake pamwe na uteuzi wake. Yuko chini ya AG lakini ana nguvu kuliko AG.
 
To be frank the toughest question to me kwa leo itakuwa ukinniuzliza kutaja Ma-DPP watano kuanzia huyu feleshi. I just dunno them. Lakini Mkjj kuna pia question of tyme sidhani kama DPP wa 1970 alinganishwe na huyu wa sasa. Huyu wa sasa ana nyenzo za kumwaga, dunia kijiji, interpol, wezi wameongeza mbinu etc.
 
Hii ni moja ya posts ambazo ni vigumu sana kuiona mantiki yake. Huwezi ukasema so and so is the worst DPP wakati uleule ukauliza idadi ya maDPP na rekodi zao. Nilitegemea kabla ya kuja na hii generalisation mtu angejisumbua kutafiti kidogo na kulinganisha records za hao anaosema maDPP na kesi zilizopelekwa kwao ukihusiha pia viwango vya ushahidi kabla ya kutoa hukumu ya mwisho. Tena kwa uelewa wangu, Feleshi ndio DPP pekee ambaye kapeleka mahakamani kesi nyingi ambazo zinahusu watumishi wa ngazi za juu serikalini kama hiyo ndiyo tafsiri ya maslahi ya umma. Ni vyema wakati mwingine tuweke hisia pembeni tujenge hoja zetu kisayansi.

And you call yourself a thinktank, mweeee!
 
Chenge is most useless DPP and worst ever have in our country akifuatiwa na huyu Kilaza mpya wa Fisadi Kikwete, Useless Warema. Halafu The Worst and useless President in Tanzanian History is Jakaya Mrisho Kikwete.
 
W

Wee vipi? Hebu kaa kwanza upige funda la maji. Yaonekana hujui unachokinena.! DPP na AG,wapi na wapi?
 
Chenge is most useless DPP and worst ever have in our country akifuatiwa na huyu Kilaza mpya wa Fisadi Kikwete, Useless Warema. Halafu The Worst and useless President in Tanzanian History is Jakaya Mrisho Kikwete.
Tofautisha AG na DPP. Uliowataja hapo ni AGs.
 
"Mzee Mwanakijiji-Nani aliyeprosecute kesi ya uhaini na ile espionage?"

Kwa ile kesi ya uhaini ya mwaka 1983 ya akina HATTY MACGHEE, ZACHARIA HANS POPE, UNCLE TOM na wenzao, DPP alikuwa ni Bwana WILLIAM H. SEKULE. Ambaye kwa sasa ni Judge kule ICTR.

Ukitaka bio yake visit web page ya ICTR. He was one of the best. Ukitaka uthibitisho unaweza ukajiridhisha kwa kupitia hukumu zake wakati akiwa H.C Judge
 
  • Thanks
Reactions: ral
I would argue that Eliezer Feleshi is the worst DPP in TZ history or one of the worst.. but who could be named as the best DPP. A person who prosecuted most cases of so much public interest. Tumekuwa na maDPP wangapi kwanza since independence na rekodi zao. Anybody know?

Duh! Mzee Mwanakijiji miaka miwili sasa imepita hakuna anayekuja na majibu!

Kweli hii ndiyo maana hawa jamaa wa Kijani wanaendelea na Matusi bila hata ya kuchagua nani wa kumtusi na mbaya zaidi hadi vijana nao wanavurumusha matusi bila kujali wengine ni Baba zao.
Mungu atuvushe salama tusije anza kuchomana machao mapema zaidi.

Bado hoja hii inafaa kuendelea kufanyiwa kazi. Ila kwa wengi wanaotaraji kuona mafanikio ni kwamba mafanikio yatakuja tu pale Watanzania watakapo achana na ADUI MKUBWA KWA SASA UJINGA.
Usiniulize Ujinga upi?
Nashauri kila mmoja aanze kujithimini aina ya ujinga wake!
 
Last edited by a moderator:
I would argue that Eliezer Feleshi is the worst DPP in TZ history or one of the worst.. but who could be named as the best DPP. A person who prosecuted most cases of so much public interest. Tumekuwa na maDPP wangapi kwanza since independence na rekodi zao. Anybody know?

Dr Feleshi is the best, vyote kitaaluma na kiuadilifu, ni hazina ya Taifa na ni mtu pasina shaka lolote ndiye anaefaa kuongoza muhimili wa Mahakama....bado unaihitaji list nikupe?
 
I would argue that Eliezer Feleshi is the worst DPP in TZ history or one of the worst.. but who could be named as the best DPP. A person who prosecuted most cases of so much public interest. Tumekuwa na maDPP wangapi kwanza since independence na rekodi zao. Anybody know?

Mwanakijiji huwezi kuja na conclusion ya kitu usichokijua then unauliza swali ya idadi ya maDPP na rekodi zao za utendaji wa kazi.....sijawahi kuona kitu kama hiki. May be ndo mwanzo na mwisho wa kuwa GT
 
Chenge is most useless DPP and worst ever have in our country akifuatiwa na huyu Kilaza mpya wa Fisadi Kikwete, Useless Warema. Halafu The Worst and useless President in Tanzanian History is Jakaya Mrisho Kikwete.

Nakuomba tumpe heshima yake,na tujaribu kutumia lugha laini yenye kuonesha hisia,tunatakiwa kuwa na SUBRA (kwani hii ndiyo ibada ngumu kuliko zote).
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom