WHO: Vifo Milioni 8 mwaka 2017 vilitokana na uvutaji sigara

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,010
9,875
Shirika la Afya Duniani (WHO) limetoa takwimu za vifo vinavyotokana na uvutaji wa sigara ambapo mwaka 2017 watu milioni 8 walifariki kutokana na uvutaji wa sigara

Mbali na takwimu hizo, hadi sasa watu milioni 16 wanaoishi Marekani wamebainika kuwa na magonjwa yanayohusisha na uvutaji sigara

Mwaka 1988 Shirika la Afya Duniani liliazimia kuifanya Mei 31 kila mwaka kuwa siku ya kupinga matumizi ya tumbaku duniani ikiwa ni moja ya namna ya kupunguza vifo vinavyotokana na uvutaji

Nchi za Kipato cha chini na cha kati zimeripotiwa kuwa na watu wengi wanaotumia sigara duniani katika jumla ya watu Bilioni 1.3 wanaotumia tumbaku

Vifo Millioni 100 vimeripotiwa kutokana na uvutaji wa sigara kwa karne ya 20. Aidha Katika wavutaji 1.3 bilioni watu milioni 7 hufa kutokana na madhara ya moja kwa moja ya uvutaji

Watu milioni 1.2 katika wavutaji bilioni 1.3 wameripotiwa kufariki kutokana na madhara yasiyo ya moja kwa moja ya sigara na tumbaku

=====

Each year, the World Health Organization (WHO) holds World No Tobacco Day on May 31. Their goal is to spread awareness about the risks of tobacco use and how we can make the world tobacco free. Roughly 6 million people die from tobacco-related ailments every year. And that number is projected to rise to over 8 million by 2030.

But this is by no means a guarantee. The Sustainable Development Agenda aims to reduce deaths from noninfectious diseases by a third. Diseases linked to tobacco are on the list, so if we hit the target, 2030 will be a year to celebrate (oh yea!)—not only for our health, but the size of our wallets. Your average smoker drops around $4,000 on cigarettes annually. Imagine all of the other cool holidays you could enjoy with that money (we have a few suggestions, just saying). So let’s use World No Tobacco Day as a launching pad to a brighter and less smokey future!

Taarifa Zaidi: WORLD NO TOBACCO DAY - May 31, 2021 | National Today
 
Mungu apite nao tu Mana wabishi Sana unamwambia sigara yako vutia pembeni halafu anakuwa mkali.
 
Hatuachi kubuta fegi kwani mamalaya wangapi wamekufa na ngoma na hawaachi. Kwanza watu m 7 kwa watu 1.2b ni chini ya 1% tu ya wala fegi wote
 
Back
Top Bottom