johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,891
- 141,824
Mwakilishi wa Shirika la Afya Duniani ( WHO) hapa nchini amesema siyo lazima kwa muuguzi anayemchoma mtu chanjo kuvaa gloves.
Msemaji huyo amesema WHO imelazimika kutoa ufafanuzi huo baada ya watu kuhoji mitandaoni kwanini muuguzi aliyemchoma chanjo Rais hakuvaa gloves.
Gloves huvaliwa kama muuguzi ana hofu ya kupata maambukixi kutoka kwa mgonjwa na siyo kila wakati.
Source: ITV habari!