Who si Deus Mallya?

Sokomoko

JF-Expert Member
Mar 29, 2008
1,915
127
Deus Mallya ni mpiga picha na designer rasmi wa Chadema? Jee hii habari ni ya kweli? Kuna mtu yoyote mwenye wasifu wake (CV) yake?
 
Simple.
Mallya was Wangwe's inner circle guy who was eventually lured into CCM's payroll to plot Wangwe assassination (for reasons known only to CCM themselves).
Chapter closed.
 
Mkuu Mbu kuna habari zinasema Deus aliachiwa huru na baada ya kuachiwa huru akapewa ajira Chadema as long as Chadema tunao humu nadhani wanayo CV yake watatupostia its just a matter of time. Nahisi Dr Mkumbo akiingia akaona hii post atatusaidia maana jamaa ni very helpful.
 
D. Mallya , aliwahi kuniambia yeye ndie mmiliki wa JF.. Eti yeye ndie mwenye ID ya invisible a.k.a robot... Kwa sasa yupo libya anasoma.
 
Unamaana hujui kama ameajiriwa Chadema?


Maswali na majibu yako yana utata.

Swali lako: "Deus Mallya ni mpiga picha na designer rasmi wa Chadema? Jee hii habari ni ya kweli? Kuna mtu yoyote mwenye wasifu wake (CV) yake"?

Baada ya mchangiaji kutoa maoni yake, wewe umekuja na swali ambalo kwa upande wangu naona ni jibu kwa swali lako la msingi "Unamaana hujui kama ameajiriwa Chadema"?

Sasa kama unafahamu wazi kuwa ameajiriwa na chadema, usingeuliza swali hilo.
 
Back
Top Bottom