Who runs Government of Tanzania?JK,Lowasa,Meghji au Mwandosya?

mstahiki

JF-Expert Member
Jul 14, 2007
308
5
who is the Brain ya serikari ya bongo?JK haonekani kama ana msimamo au kuwa na muelekeo unaoeleweka?wala kuwawajibisha mafisadi...
 
who is the Brain ya serikari ya bongo?JK haonekani kama ana msimamo au kuwa na muelekeo unaoeleweka?wala kuwawajibisha mafisadi...

Why?
None of the above. More likely 'wafadhiri' na hasa hasa hivi karibuni watakuwa wafadhiri wenye maslahi ya nchi yao. Taifa kubwa. Na hapo tutakuwa tumetimiza katika muda wa miaka chini ya ishirini hivi, ndoto ya kuwa "Banana Republic."
 
Labda tuulize pia who is the star minister in this government? Maana wakati wa Nyerere walikuwepo akina Sokoine; wakati wa Mwinyi-akina Mrema; na kwa Mkapa walikuwepo akina Magufuli. Who is a star minister in this guy's government?
 
I'll have to say, kwa mbali kidogo: Huyo Prof. wa magogo - Maghembe (labda, whoelse?).
 
Labda tuulize pia who is the star minister in this government? Maana wakati wa Nyerere walikuwepo akina Sokoine; wakati wa Mwinyi-akina Mrema; na kwa Mkapa walikuwepo akina Magufuli. Who is a star minister in this guy's government?

..kitila,

..frankly,i think its too early to say.why?kwasababu bado hamna aliyetuonyesha mabadiliko makubwa katika kazi yake.

..lakini,diallo alianza vizuri misitu,only to be moved!magufuli bado anaendeleza kazi zake ardhi,ila kwa kasi ndogo[labda hatuyapati vizuri anayoyafanya!]maghembe nae wamo kidogo!
 
Labda tuulize pia who is the star minister in this government? Maana wakati wa Nyerere walikuwepo akina Sokoine; wakati wa Mwinyi-akina Mrema; na kwa Mkapa walikuwepo akina Magufuli. Who is a star minister in this guy's government?

Kitila,

Swali lako ni zuri na gumu, lakini kama kawaida litajibiwa kirahisi!!! kwa maana waziri mzuri atachukuliwa kwamba ni yule anayeongea na vyombo vya habari.

Binafsi, Namkubali Dr. Shukuru Kawamba waziri wa maji, hana makeke lakini ni mfuatiliaji mzuri sana, anajali utendaji na wala sio kuvuma kwenye vyombo vya habari. Lakini lazima niseme huu ni utashi tu, sio proper performance appraisal. Pia naibu wake Shamsa Mwangunga anachapa kazi yule mama.

Mwingine ni yule mama wa Elimu! Magrati Sitta!!! Anajitahidi sana hata kama kwa kweli wizara ile ina-support kubwa kutoka kila ngazi ya serikali.
 
Labda tuulize pia who is the star minister in this government? Maana wakati wa Nyerere walikuwepo akina Sokoine; wakati wa Mwinyi-akina Mrema; na kwa Mkapa walikuwepo akina Magufuli. Who is a star minister in this guy's government?

Nadhani tukubaliane na hiyo hoja yako,lakini ktk kipindi hiki itakuwa ngumu,kwa sababu awamu hii imejaa viongozi wengi ambao walikuja kwa mvuto na wote walipendelea sana kung'ara kama alivyo JK mwenyewe lakini wakasahau kuwa mng'aro wa JK ni KARAMA za mungu na si nguvu za kibinadamu.
Wakati wa Mwalimu alifanya kila awezalo ku shine yeye kama Mkuu ni Sokoine tu ndie aliyethubutu kujipambanua na kutawala mioyo ya waTZ,walikuwepo viongozi waliokuwa na mvuto lakini hawakupewa nafasi hiyo kwa makusudi au bahati mbaya na zaidi ni mfumo wa kimangimeza ulokuwepo ktk jamii yetu na watawala,Mwinyi yeye hakuwa na mng'aro mkubwa bali presidency ndiyo iliyomjenga hivyo alijikuta anarithi mfumo uliompatia mamlaka lakini alichelewa kung'amua kuwa asingeliweza kufanikisha malengo yake kwa taifa,mataifa na siasa kwa yeye kujaribu kuwa mrithi bora wa Mwalimu,alipoligundua hilo ndio changes za 1990 pale aliweza kutupatia sura yake rasmi ingawaje kwa kutojiamini sana maana bado alikuwa anajiona Mzanzibar zaidi kuliko TZ ambayo yeye ndiye rais wetu;kosa hilo lilimnyima mandate ya kurithisha mtu kiti hicho na Mwalimu akatupatia Ben,lakini 5yrs yake ya mwisho aliwawezesha wanasiasa wengi kujipambanua,JSM,Lyatonga,Kighoma,Lowasa,JK,Amina Salum Ally,nk.

Benj alipoingia alichofanya ni kutupatia PM asiye na nuru ktk jamii hivyo kwa njia hiyo walijitokeza wengine kama kina Magufuri na wengine wengina hata Sumaye alipoanza kujipambanua it was late but walong'ara waling'ara ,why not this time" Rais na PM ni watu ambao wanang'ara hata kama kuna kuzidiana kwa namna wanavyong'ara,ktk hali hiyo the only person ambaye angeliweza kujipambanua ni Waziri wa Mambo ya Nje lakini bahati mbaya ni kwamba bado hajapatia mtu wa karisma ya uhusiano wa kimataifa ambaye angeweza kutikisa mvuto wa PM au rais,aliyepo ni msomi mzuri wa diplomasia na mzoefu lakini hana mvuto unaofanana na kiti hicho,Migiro was going somewhere positively,akitaka kurejesha hali hiyo nafasi hiyo ampatie Dkt Mary Nagu,she is something better than aliyepo.

Naamini kwa dhati ya roho yangu kuwa Rais wetu ndiye ring Leader wengine wote hawa tuwaonao wanajitahidi kuisaka nyota hiyo ya Mng'aro.
Shukrani
 
Ila Mama Sitta kweli nilipata kuona baadhi ya maagizo yake, inaonekana huyu mama kweli anawajali wanafunzi. atleast kwa sasa Hata mimi nampa bigup huyu mama.
 
I will say Mizengo Pinda TAMISEMI., hii can be the star by now .

Jueni kuwa yuko chini ya PM ila anajitahidi sana kufuatilia na hata ukimsikia na kumwona bungeni huwa anajibu akimaanisha kile anachosema sio kama wengine ambao unajua kabisa kuwa wameandikiwa.
 
Labda tuulize pia who is the star minister in this government? Maana wakati wa Nyerere walikuwepo akina Sokoine; wakati wa Mwinyi-akina Mrema; na kwa Mkapa walikuwepo akina Magufuli. Who is a star minister in this guy's government?
Kwahiyo magufuli kaanza zaman
 
Back
Top Bottom