Who Recruited Kikwete and what did they see in him and when?

It comes as a big suprise! Indeed what is it that we other people don't see and the guys count it as something potential?
All in all, jamaa wamemwaga mboga na ugali pamoja.
 
Ni sisi wenyewe, kisha tukaongezewa nguvu na viongozi wetu wa kidini. Remember "chaguo la mungu" episode.
Swali ni tuliona nini kwa Kikwete? Je alitudanganya kwamba anaweza kazi? Na je tumedanganywaje mara mbili hata akaweza kuongoza term ya pili?
 
Labda wanajua potential ya nchi yetu kwahiyo wameamua kuingilia mlango wa nyuma ili baadae wavune wanachotarajia maana strategies zao huwa ni za muda mrefu. Kama hatujajifunza kitu hapa we are in for it! Wamerekani sio marafiki zetu, period!!
 
Nimesoma hizi Wikileak diplomatic cables na kuona JK anavyoingizwa sehemu mbalimbali na kujikuta ninajiuliza hilo swali. Sijui wengine mmeona pattern fulani au mmejiuliza swali au kupata majibu ya swali hilo?

Inashangaza zaidi kwamba huyu mkulu alikuwa minister wa foreign affairs for 10 years of which hata kama alikuwa mzembe mzembe before, basi angejifunza mambo mengi kuhusu diplomacy!!!!!!!

Lakini mkuu mm wala sishangai na mbaya zaidi the guy has role-modelled plenty. Kwa hiyo huko mbele tutegemee even some worse reckless leaders kuliko hata yeye!!!! The trend and pattern that I see kuhusu taifa letu ni kuporomoka kwa maadili, kukosekana uwajibikaji, kukumbatia ujanja ujanja etc. Imagine juhudi kubwa mno zimefanyika kupindisha ukweli, to lower the leadership bar, and to convince the masses that what we have and what we are is the best. Na watu aina ya JK eti ndiyo tunaambiwa wanafaa kuongoza taifa hili. Cry my beloved country.
 
Kwa upande wangu hao jamaa hawahusiki na huyu jamaa kuingia madalakani kwake,huyu mkuu aliingia madalakani kwa mfumo wetu na jamii yetu ilivyojipanga na kwa msaada wa Rais wa awamu ya PILI kumjenga na kwa kuwa na bashasha la kupendwa [Charismatic=A person attracts, influences, and inspires people by their personal qualities.-].

Kidogo historia ya kule alikopita na malezi pia ni athari ambazo zinachangia kutoa zana mpya [Thsesis],na pia upenzi binafsi juu ya aina fulani ya life style.Mfano ukiweka aina mbili ya life sytle kati kuchagua uchina au umarekani hakika kwa mhusika atachagua umarekani kwa sababu ya haiba yake [personality].

Hivyo Tangu alipopata ufahamu na kwa kuwa mwanzoni enzi ya ujana wake,alipenda sana style ya uchina yaani ukomledi,lakini kadri alivyokuwa anakuwa na kukutana na changamoto nyingi za mabadiliko ya jamii na tabia za wakuu wake zikiwemo kuathiliwa kisaikolojia kama kweli lille tendo la Monduli lilikuwepo [ambalo kwa zama zile ilikuwa ni aina ya uzalendo kisha uzalendo wake unawekwa wazi kwa wahusika,na kwa kuwa yeye ni kijana mdogo wakati ule, pata picha alivyopona kwenye mtafaruku ule na wazee wale hakika,kwa kijana yoyote angejenga hasira za ndani kwa ndani na mfumo huo,

Kwa hiyo hawa wadau kawajua na kujihusha nao sana na kuvutiwa na style yao ya maisha,baada ya kuwa waziri wa mambo ya Nchi za Nje,lakini si vinginevyo.
 
Kikwete "aliandaliwa" kushika position ya juu kwenye Uongozi wa nchi mara tu Mzee Mwinyi alipopata nafasi ya kuwa Rais. Utakumbuka namna alivyopandishwa vyeo haraka na kuwa Waziri kamili (tena wa Wizara nyeti) baada ya muda mfupi. Kikwete hakuwahi kuwa chaguo la Mwl. Nyerere (kama ilivyokuwa kwa Mzee Mwinyi), na ni wazi alionekana mtu "sahihi" na "rahisi" "kumtumia" kubadili mfumo na kulegeza misimamo ya kizalendo ya awamu ya kwanza.

Mzee Mkapa "alisaidia" kum-expose Kikwete kwenye "siasa" na "fitna" za kimataifa wakati alipomteua kuwa Waziri wa Mambo ya Nje (huko bila shaka waliokuwa wanamwandaa walipata fursa ya kumwahidi misaada yao na kupata ahadi ya "kutimiziwa" mahitaji yao baada ya kupata U-Rais).

Mambo yanafunguka sasa na wa kulaumiwa ni sisi kwa kutokuwa "wasikivu", na bahati mbaya kuwa na utaratibu usiokidhi haja wa kuwapata viongozi wakuu.
 
utakuja kugundua mwalimu katuangusha sana, kwa sababu mtu mwenye kipaji kama yeye alikuwa ateupushe na haya.

niliwahi uliza huko nyuma hivi JK huwa ana ongea nini na hawa western leaders maana wao ni vipanga na washauri wao mara nyingi huwa vipanga kuwazidi wao. huyu wetu ni jana mno. wakulaumiwa ni mwalimu tu.

napita.
 
Jibu:

(i) Aliyemtafutia kzi Mhe Kikwete ni Ndugu Ali Hassan Mwinyi.

(ii) Malengo yake ya muda wa kati na muda mrefu ilikua na bado ni a. kumpatia mwanaye kazi ya kuongoza Zenj na b. kuleta mahakama ya kadhi.

(iii) Aliweza kumtafuta tangu akiwa kulee Lindi kwenye miaka ya 97 hivi. Kwenye kupigiana chapuo Simba wa Yuda aliwekwa sawa na Mzee Mwinyi kuunga mkono chaguo hilo. Kazi hiyo ilipata tu uepesi baada ya mwalimu kutangulia mbele ya haki; laa sivyo ... mhhhh!!!!!!!!!!

(iv) Mwezeshaji wa wazo hili ili iweze kufanyika kiukweli alikua ni Rostam Aziz na Edward Lowassa kwa kubuni Uanamtandao na kuwekeza kifedha katika hizo mbio za urais nchini.

Hebu nipe maksi zangu basi MM.
 
Nimesoma hizi Wikileak diplomatic cables na kuona JK anavyoingizwa sehemu mbalimbali na kujikuta ninajiuliza hilo swali. Sijui wengine mmeona pattern fulani au mmejiuliza swali au kupata majibu ya swali hilo?

mbeleko zilizomfikisha JK hapo alipo ni pamoja....................na:-

a) Kubebwa na Kawawa ndani ya ccm na kupangiwa ukatibu wa Wilaya kusini na baadaye Zanzibar ili kumjenga...................Mzee Ruhksa yeye alitumia nafasi yake kumwendeleza ndani ya serikali katika khali ya kuwainua waislamu..................bila ya kutafakari kama hakuna waislamu wengine wenye uwezo ila huyu kifuu..............................

b) katiba ya ccm imewapa wa Zanzibara nafasi kubwa katika kutuchagulia viongozi kupitia CC, Halmashauri kuu na hata mkutano Mkuu wa ccm kupitia uwalikilishi haramu.................hakuna proportional representation pale na ndiyo maana mwaka 1995 Jk angelichukua nchi kama nyerere asingeliingilia kati kwa kutambua mapungufu ya katiba tajwa.......................that Jk wa unqualified then and he is still unqualified now to be the ceo of this nation..............................

c) mwaka 2005, JK alikuja na sera ni zamu ya waislamu na waislamu akawaahidi makubwa yakiwemo mahakama ya kadhi na kujiung na OIC mambo ambayo mwasisi wake Mzee Rukhsa yalimshinda....................sasa JK amejua hii nchi ni ya Kikristu baada ya kusalimu amri mbele ya Bunge na kuikana azma yake ka kulisilimisha hili taifa kinyemela kupitia maeneo tajwa.....................na hili alijua baada ya kujulishwa na usalama kuwa kura ya kumfukuza kazi ndani ya Bunge itapita...................kwa sabau wa wakristu are rally fed up with his incompetence ndani ya Bunge.....................

d) mwaka 2010 tulimfuta kazi lakini usalama na nec wakamrudisha kwa nguvu........................it is not our fault that voters voice is muzzled by the wicked members of this nation......................................
 
Nimesoma hizi Wikileak diplomatic cables na kuona JK anavyoingizwa sehemu mbalimbali na kujikuta ninajiuliza hilo swali. Sijui wengine mmeona pattern fulani au mmejiuliza swali au kupata majibu ya swali hilo?

Mwanakijiji,
Hata kabla ya hizi cables, things were very clear that someone was reporting somewhere. The inner circle ya hapa is not thinking right that's for sure, and it will take a generation (possibly more) kujinasua kwenye huu mnyororo.
 
KIKWETE AND TANZANIA PRESIDENCY: THE MAN, THE HELM AND THE FIT BETWEEN THEM

JK's political cridentials and leadership ethics are today coming under an inevitable thorough eagle-eye scrutiny and how we found ourselves with HIM in state house helm as the BEST person ever in our land.

Many people are today seeking to turn-back and make attempts coming to terms with the circumstances, periods, and persons with through whom we may have landed the New Messiah of our nation. What may have cinnically taken as all that decades journey back into history - God knows.

As a result, perhaps, a lot critical thinkers could be failing, at least in forced silence, to prevent themselves a chance to ask a most pivotal question yet very frustrating that; was it all as a result of 'a Hurricane Mwinyi' that may have accidentally winnowed the man to this seat like no other or could it simply have had something sinister that Mwalimu Nyerere HAD TO pass-on for the mallevolent political ganstarism in Tanzania's history to come a full circle.

Subsequently, at the foot of the latter question in the Tanzania political wonderland, if Mwalimu Nyerere indeed had no hand in seeing Kikwete flagged-off for Magogoni race to become the next (then) president or anything near that, then who (of the pushing group) surely may have chosen to handover the most repectful Oldman of Butiama, systematically considered as a stumpling block to the Mwinyi Dream, a masterkey to the next world before his eventual time??????????

Anyway, most of the reccurent questions above may well not need to be answered so exhaustively in one basket today as TIME is best placed to do that for Tanzania's future generations.

Inashangaza zaidi kwamba huyu mkulu alikuwa minister wa foreign affairs for 10 years of which hata kama alikuwa mzembe mzembe before, basi angejifunza mambo mengi kuhusu diplomacy!!!!!!!

Lakini mkuu mm wala sishangai na mbaya zaidi the guy has role-modelled plenty. Kwa hiyo huko mbele tutegemee even some worse reckless leaders kuliko hata yeye!!!! The trend and pattern that I see kuhusu taifa letu ni kuporomoka kwa maadili, kukosekana uwajibikaji, kukumbatia ujanja ujanja etc. Imagine juhudi kubwa mno zimefanyika kupindisha ukweli, to lower the leadership bar, and to convince the masses that what we have and what we are is the best. Na watu aina ya JK eti ndiyo tunaambiwa wanafaa kuongoza taifa hili. Cry my beloved country.
 
Jamani huyu mtu ni janga la kitaifa ki ukweli amejawa na hila na sidhani hata hao ambao walimdhani kuwa anafaa wameshaona udhaifu wake mwingi na huenda wanajuta na ndiyo maana sikuwahi kuwapigia kura ccm tangu kipindi cha kura picha ya mwinyi alivyokuwa hana mpinzani ila nilijua mara zote kuwa ccm itashinda kutokana na hila zake ila sikuwa tayari kuwapa kura yangu moja bora lakini
tuongeeni ukweli alivyopita huyu jamaa kwa watu wengi alionekana anafaa na mwalimu aliliona hilo kwa mbali kabisa na hakutaka vurugu za kisiasa akatumia busara kumpunguza kasi yake lakini tukija kwa wananchi tunavyopenda ushabiki kwa kuona kwanza ni mtu wa watu na pili nilidhani ni mwanajeshi shupavu hatakuwa na longolongo nyingi kwenye maamuzi muhimu ya masilahi ya Taifa hili lakini kumbe lilikuwa kosa la kiufundi na sasa tunavuna pando la muda mrefu huku tunalia machozi.
 
Jamani wakulaumiwa hapa ni sisi wenye nchi.Mwalimu Nyerere alimuona huyu mtu akatutahadharisha tumwogope anayelilia ikulu.Sasa jamaa katumia kila hila kuingia ikulu ufisadi,siasa makundi,udini nk.Kafika ikulu kaweka uhandsome mbele kamwaga vimwana wake kila kona ya nchi ktk uongozi bila kujali uwezo wa mtu.Shameless leader ever happen in Tz.
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom