Who Recruited Kikwete and what did they see in him and when?

Hizi cables hizi zinatufanya tuanze kuuliza hata vitu ambavyo tulikuwa hatuvifikirii
 
Nadhani hao waliomuandaa hawakutazama pande mbili za sh.walidanganywa na soga za kahawani hawakufikiria kwa undani uongozi na uswahiba wa kahawani ni tofauti.Ndio maana nchi imepoteza dira.
 
Jamani wakulaumiwa hapa ni sisi wenye nchi.Mwalimu Nyerere alimuona huyu mtu akatutahadharisha tumwogope anayelilia ikulu.Sasa jamaa katumia kila hila kuingia ikulu ufisadi,siasa makundi,udini nk.Kafika ikulu kaweka uhandsome mbele kamwaga vimwana wake kila kona ya nchi ktk uongozi bila kujali uwezo wa mtu.Shameless leader ever happen in Tz.
 
JK amekuwa janga la kitaifa - kwa mengi! Kama Mwalimu angekuwa hai sidhani kama JK angepitishwa na NEC kuwania urais hata JK mwenyewe anafahamu hivyo ndiyo maana hata siku moja huwezi kumsikia hata siku moja akimtaja kama baba wa taifa, sana sana utamsikia akimwita 'mzee Nerere'.
 
Ni sisi wenyewe, kisha tukaongezewa nguvu na viongozi wetu wa kidini. Remember "chaguo la mungu" episode.
Swali ni tuliona nini kwa Kikwete? Je alitudanganya kwamba anaweza kazi? Na je tumedanganywaje mara mbili hata akaweza kuongoza term ya pili?

Mkuu

Huko kote uliko sema ni sawa lakini hili ya termya pili NEC ndio walio mpitisha kuwa rais na ndio maana anajua hakupita na amepooza mbaya na Wikilieaks itamuandama mpaka ayakimbie madaraka ya Urais kutoboa 2015 sijui.

NB;
Umenikumbusha "Chaguao la Mungu Episode" teh teh teh teh ama kweli tulikuwa mazuzu balaaaaaaa
 
niliwahi kuliangalia hili suala na naona umelielezea vizuri sana. Hapo ni kweli ndiyo lawama zinabidi zianzie na si kwingineko, watu kama hawa walistahili kuwa kwenye position za kutumwa na wengine na sio kuwatuma (kuongoza. Anyway, Mwalimu alituonya lakini hatukusikia pale aliposema "ni mdogo" japo it was too late.
utakuja kugundua mwalimu katuangusha sana, kwa sababu mtu mwenye kipaji kama yeye alikuwa ateupushe na haya.

niliwahi uliza huko nyuma hivi JK huwa ana ongea nini na hawa western leaders maana wao ni vipanga na washauri wao mara nyingi huwa vipanga kuwazidi wao. huyu wetu ni jana mno. wakulaumiwa ni mwalimu tu.

napita.
 
Wamarekani walianza hii effort kwetu in fifties.... it will take us 100 years kureverse walichofanya

FYI, hata rais ajaye atatoka kwenye "pot" yao tu... tutake tusitake

MTM

Mkuu,you mean the whole thing's Americans' brainchild?when did it start? was it for that Nyerere denied him a chance in 1995,may be he foresaw the onset of the plight we are in now? Outrageous..Thanks God, I'd never voted for him
 
Nchii yetu, ni nchi isiyo na utamaduni wala imani moja. ni diversity hii ndio chanzo cha matatizo yetu mengi,
likiwemo hili la kufikia hatua ya kuwa na Rais Kama huyu.

Nadhani hata approach ya Mwalimu ya kupambana na ubaguzi wa Rangi, Dini, na ukabila ilikuwa na kasoro
ambazo inatulazimu tuzirekebishe, Yes, hazikutusaidia kumbaini huyu jamaa ndio maana ama amefanikiwa
kujipenyeza ama wamefanikiwa kumpenyeza mpaka Ikulu.

Kama taifa woooooooooooote, hatujui kabisa kabisa kabisa namna ya kudadavua na kupata the right
candidate for the white house, tunahangaika tu.

Ndio Maana hata wewe Mwanakijiji ulimpigia huyu Jamaa Kampeni 2005.

Kitu pekee nilichobakiza kama matumaini yangu kwamba huyu Jamaa aliingia
pale kwa sababu ni chaguo la Mungu ni ili aweze kutusaidia watanzania kujikwamua
kutoka usingizini.

Yes, na anatuamusha kwelikweli.
 
Na mambo yamekuwa mabaya zaidi nowadays kwa sababu issue ya udini imeshaingia.Unadhani itawezekana tena kuwa na succession ya presidents wa dini moja walau kwa phases mbili hata kama ni watu wenye uwezo wa kuongoza? sidhani,tuombe sana Mungu.Red imenishtua,MM uliingia kwenye mtego pia?
 
Hivi huwa mnafikiri? unanchekesha!

Unapenda sana kuchekacheka FF sijui kwa nini? issue sensitive kama hii wewe unacheka,umezisoma hizo cables MM anazozisema?Inasikitisha sana dada'etu,kama haujazisoma tafuta muda uzisome(hata kama zinakukera), utafakari....Utaelewa kwa nini MM kaanzisha huu uzi
 
yaweza kuwa maana wengi wetu tuli emphasis zaidi kwenye "Uniformity" na si "diversity" of the nation! Ni ukweli unaouma lakini inakuwa vigumu kuubadilisha!
Nchii yetu, ni nchi isiyo na utamaduni wala imani moja. ni diversity hii ndio chanzo cha matatizo yetu mengi,
likiwemo hili la kufikia hatua ya kuwa na Rais Kama huyu.

Nadhani hata approach ya Mwalimu ya kupambana na ubaguzi wa Rangi, Dini, na ukabila ilikuwa na kasoro
ambazo inatulazimu tuzirekebishe, Yes, hazikutusaidia kumbaini huyu jamaa ndio maana ama amefanikiwa
kujipenyeza ama wamefanikiwa kumpenyeza mpaka Ikulu.

Kama taifa woooooooooooote, hatujui kabisa kabisa kabisa namna ya kudadavua na kupata the right
candidate for the white house, tunahangaika tu.

Ndio Maana hata wewe Mwanakijiji ulimpigia huyu Jamaa Kampeni 2005.

Kitu pekee nilichobakiza kama matumaini yangu kwamba huyu Jamaa aliingia
pale kwa sababu ni chaguo la Mungu ni ili aweze kutusaidia watanzania kujikwamua
kutoka usingizini.

Yes, na anatuamusha kwelikweli.
 
Nimesoma hizi Wikileak diplomatic cables na kuona JK anavyoingizwa sehemu mbalimbali na kujikuta ninajiuliza hilo swali. Sijui wengine mmeona pattern fulani au mmejiuliza swali au kupata majibu ya swali hilo?

Who recrtuited Kikwete: I don't know I was definitely just a toddler when he was being employed probably by TANU as a politician. What didi they see in him: I sincerely don't know the exact qualities they saw or were looking in him. However, I can guess that they saw a young man with an ever smilling face and didn't take time to assess what was behing the big smile on his face.
 
Unapenda sana kuchekacheka FF sijui kwa nini? issue sensitive kama hii wewe unacheka,umezisoma hizo cables MM anazozisema?Inasikitisha sana dada'etu,kama haujazisoma tafuta muda uzisome(hata kama zinakukera), utafakari....Utaelewa kwa nini MM kaanzisha huu uzi
Msamehe bure FaizaFoxi, hili swala huenda analitazama kiimani zaidi na inamfanya apuuze na kucheka, hukumbuki Kiongozi wa dini aliyesema Kikwete anaandamwa kwasababu ya dini yake tuu na si kwamba ni kiongozi mbovu?
 
Ni Mkapa! Alikuwa na rais & mwenyekiti wa chama na angeweza kumpiga chini kama angeamua. Kwanza alimpa wizara rahisi (mambo ya nje kwa miaka 10). Angepewa wizara ngumu kwa muda wa kutosha udhaifu wake ungeonekana mapema
 
Wamarekani walianza hii effort kwetu in fifties.... it will take us 100 years kureverse walichofanya

FYI, hata rais ajaye atatoka kwenye "pot" yao tu... tutake tusitake

MTM

This is seriously bad......!!!!
 
Back
Top Bottom