faida nazojua mimi ni easy comminication,ndiyo maana siku hizi hatuandikiani barua kama zamani,tuna email,hasara ndio hivyo no private
swali lako gumu kwelikweli,hapo ulipo labda unaniona kweupe!!
natamani ningekuwa hacker ningefanya vurugu mpaka watu wangekoma,
Hapana mimi siwezi kukuona kwa sasa labda ningekuwa mod wa JF. uwa hacker sio kazi kubwa sana miaka hii. NI asawa sawa na mprogrammer wa wa zamani na wasasa wale wa zamani waliumiza vichwa sana. Anyway najua maprogrammmer wa sasa wanaweza kunishambulia teh teh
Lakini ukibofya na usearch internet kuna nyenzo ziko ready made unaoweza utumia kuhack. Sasa hivi sio kila hakce rni mtaaalam.
Kuna wataala wameshaandika script za
Kuna mda sharobaro amewahi kuandika kuhusu haya mambo itafute. Lakini sio kazi rahisi sana but st possible.
- kufanya DDOS attack kuizima site isipatkane kwa kufloood na request kibao
- Kufanya SQL injection kuiba data kwenye site
- Socia engineering
Ushauri wangu ni Hack to Learn dont learn to hack. Na kama unataka kujua mambo ya security na hacking unatakiwa ujifuzne na uinstall Backtrack Downloads.
Pamoja na majibu mazuri ya Mtazamaji na wenzako lakini mimi bado najiuliza hivi hii internet anayeimiliki ni nani hasa, maana mwisho wa siku lazima haya mahela tunalipia yanatakiwa yawafike hao ambao pengine ndio wanagawa kilakitu kuhusu internet.
Mfano hawa ma ISP wetu wananunua wapi hizo bundwith kutuuzia sisi, na huu utofauti wa bei kati ya nchi na nchi unatokana na nini au ni kodi?
Je kwanini ISP wan
abania sana speed?
Pamoja na majibu mazuri ya Mtazamaji na wenzako lakini mimi bado najiuliza hivi hii internet anayeimiliki ni nani hasa, maana mwisho wa siku lazima haya mahela tunalipia yanatakiwa yawafike hao ambao pengine ndio wanagawa kilakitu kuhusu internet.
Mfano hawa ma ISP wetu wananunua wapi hizo bundwith kutuuzia sisi, na huu utofauti wa bei kati ya nchi na nchi unatokana na nini au ni kodi?
Je kwanini ISP wanabania sana speed?
ISP wote wananunua bandwith kutoka TTCLPamoja na majibu mazuri ya Mtazamaji na wenzako lakini mimi bado najiuliza hivi hii internet anayeimiliki ni nani hasa, maana mwisho wa siku lazima haya mahela tunalipia yanatakiwa yawafike hao ambao pengine ndio wanagawa kilakitu kuhusu internet.
Mfano hawa ma ISP wetu wananunua wapi hizo bundwith kutuuzia sisi, na huu utofauti wa bei kati ya nchi na nchi unatokana na nini au ni kodi?
Je kwanini ISP wanabania sana speed?
Paulss teknlojia ya intenet ina waaanzilishi lakini hakuna mmiliki wa internet. una vyombo vimemewak ambavyo ni non profit kusaidia coridnatio ama nilivyovitaja huko juu kama Internet engineering Task force ( iETF) na ICANN.
Hizi kampuni za ISP bongo zenyewe zinamiliki miundombinu ambayo mawasilino ya internet yanapita. Na wao ISP wanatemmgea mindombinu ya makampuni yenye satelite au Mkonga wa taifa ile mawasalino ya wateja wao yaunganishwe na internet. Tunaweza kuwabatiza hawa wenye satelite na mikonga kama "Super ISP".
So kama wewe una hela ukienda kuomba connetion moja kwa moja kwa hawa super ISP ambao ISP wengi ndo wanachukua kwao utakuwa na internte super kama uko korea( kwa mujibu wa data korea ndo nchi yenye internet yenye kasi zaidi)
Na ubora na aina ya mindombinu inayotumika ndio unaamua kiwango cha juu au cha chini cha bandwidth amabyo ISP au mteja anaweza kupokea.
Mfano kama Uwezo wa satelite ni mdogo na data trasnfer rate ya sateleite ni ndogo au iko slow kulinganisha na fiber optic. Teknolojia ya fiber optic ndio inatumika kwenye mkonga wa taifa.
So ISP wao wanatoza gaharama ili kurudisha gharama zao na wapate faida. na utafuti wa gharam unategmea mambo mengi ama vile
Kubania Bandwidth nayo ina sababu tofauti tofauti.
- Idadi ya wateja - Ulaya gharama ni ndogo saabu vle vle watu wengi sana can share the cost na hivyo ISP waarudisha hela yao hata kwa gharama nafuu Huku bongo watu wachache wenye internt inabidi wakamuliwe ili kuwe na ROI
- Kampuni zenyewe zina mipango na strategy tofauti eg zirudishe gharama zao baada ya muda gani na kwa style gani na hiyo inaathiri gharama ya kampuni X kuwa tofauti na kampuni Y au nchi na nchi.
Kama nimekosea maelezo nadhani wataalamu wengine wtanisahisha.
- Uwezo tofauti na aina ya vifaa mawasiliano .- Mfano hata ISP wakimua kuachia maimum u dowload and upload capacity waliyonayo wa wateja wao . Mteja anayetumia modem ya 2G uwezo wake utakuwa tofauti na yule anayetumia 3G. Mteja anayetumia Dial up ADSL and cable conneton hawawezi kupata kiwango sawa. Jaribu kusoma hapa upate picha Internet Connections explained, A guide to dial-up, ADSL and Cable connections
- Vile vile ISP nao wanalipia miundombinu wanayotumia sometime kulingaan na matumizi au bandwidth waliyopewa. So hata ukiona neno unlimited bandwdth kutoa kwa ISP ni lugha tu sababu hata yeye ana kiwango cha mwisho anachoweza kutumia kwenye miundombinu ya hao wenye mikonga na satelite. ISo ili wasizidishe matumizi ndio maaana ISP wanatenga makundi kwa wateja wao.
INTERNET BANKING ACTIVITIES:
Today bank zote WORLDWIDE ziko linked together kwa internet . Benki moja iko linked na matawi yake yote kwa internet na ndo maana mtu unawekewa hela into ur account na unachukua iyo hela muda huo ukiwa ktk tawi jingine. Vilevile today,kuna internet banking ambapo kama unacomputer yako home kwako na umejoin na Internet banking na uko linked na internet,unaweza kufanya baadhi ya bank transaction while ur at home!
Kuna jamaa yangu ni worker apa TZ na anasoma Ulaya,mshahara wake unapitia NBC,akiwa huko ana access na NBC internet banking, ANATUMA HELA HUKU HOME kupitia the same!
So internet ina faida nyingi sana,mi naweza kusema bila internet sijui dunia hii ya leo ingekuwaje!