Who owns the internet? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Who owns the internet?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by rosemarie, Jun 28, 2011.

 1. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #1
  Jun 28, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  naomba kufahamu kwa undani yafuatayo!!!

  internet ni nini?
  nani mmiliki wa internet?
  nini faida za internet?
  nini hasara za internet??

  napenda sana kufahamu zaidi juu ya yote hayo,
  naomba mnaopenda kuweka link hazisaidii sana,
  naomba ueleze kutokana na ufahamu wako!!!!!.
   
 2. Kichwa Ngumu

  Kichwa Ngumu JF-Expert Member

  #2
  Jun 28, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,726
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Nitakuja
   
 3. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #3
  Jun 28, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280

  nakusuburi
   
 4. Romance

  Romance JF-Expert Member

  #4
  Jun 28, 2011
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 587
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  hii inayotuunganisha hapa na kutufanya tuwe na hiba ya kusema lolote.
   
 5. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #5
  Jun 28, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Kwa uelewa mdogo nilonao na msaada mkubwa wa google na inteenet yenyewe nitajaribu kujibu maswali yako kwa kila nitakapopata muda

  Itakapodi nitaweka link lakini kw akuwa umesisisitiza hutaki lin ni taweka link baada ya kutoa maelezo machache. ya hicho nilichoweka link.

  Internet ni nini?

  Internet ni mtandao( Network) wa kompyuta mkubwa kuliko mtandao yote. Tofauti ya mtandao wa internet na mitandao ya binafasi ya kampuni an mashirikaa au serikali ni kuwa internet ni “decentetralised by design”

  Wanaposema interenet ni decentralised by design maana yake ni kuwa haina single point of faulire. Wakati mitandao ya mashirika na makapuni ina “moyo” Eg ukishambulia Domain controller ya UN au Microsoft au wizara ya Ujenzi au Barclasys bank inaweza kuwa down lakini kinadharia internet haiwezi kuwa down

  Refer to What is Internet? - A Word Definition From the Webopedia Computer Dictionary


  Wikipedia inasema internet ni mtandao ya mitandao na hapa ninanukuu sehemu ya maelezo yao …..
  Wikipedia nao wanasisitiza juu ya dentralised state ya internet kwa malezo haya nanukuuu

  Refer to Internet - Wikipedia, the free encyclopedia
   
 6. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #6
  Jun 28, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Je internet Ilianza lini na ilianzajeanzaje

  Kwa mujibu wa wataalam internet date back to 1957.( Miaka mine kabla Tanganyia kupata ujuru wa bendera). Na haya ni mambo yaliyochangia

  • Idea ya time sharing - Ni concept ambayo wataaalamu waliza ufikiria kuwaweesha watu zaidiya mmoja kugawana CPU time ya kompyuta moja
  • Cold war- Kitendo cha USSR kuweza kutuma satellite kwenye orbit SPUTNEK kwa mara wanza kiliwaogofya USA . Uoga huo uliwafanya waunde DARPA( Defence Advaced Researched Project Agency) Soma hapa upate picha DARPA - Wikipedia, the free encyclopedia
  • Usiache kusiiliza clip hii .kama utakuwa na swali uliza
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. redSilverDog

  redSilverDog JF-Expert Member

  #7
  Jun 28, 2011
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 486
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  currently, Lulzsec owns the internet! :evil:
   
 8. m

  mzee wa njaa JF-Expert Member

  #8
  Jun 28, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 1,368
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wewe unafanya research au? then hutaki kupewa link kwanini? Au hujui kiingereza ndio maana unakataa kupewa link?
   
 9. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #9
  Jun 28, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  mzee wa njaa kuna kitu umesahau,hivi ni lazima nijue kiingereza?
   
 10. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #10
  Jun 28, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  thank you mtazamaji
   
 11. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #11
  Jun 28, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Swali lako limenifanya nami nijfiunze japo hili swali la kwanza ni la history zaidi sio mbaya.
  Hiyo youtube video niliyweka ina maelezo mazuri ya histri yainternet japo ni technical lakini inaonyesha
  • Source ya intenet ni Jeshi la marekeni
  • Woga wa USA wa vifaa vya Cuba na USSR ilibidi watengeneze kitu amabcho hata kama kituo chao cha taarifa ( mainframe center) kitashumbuliwa basi vituo vitandelea kufanya kazi bila shida
  • Baadae concept ya mtadao huo wa Network ya jeshi ukazidi kukuzwa na kuzaaa cocncpet ya kijeshi iliiyoitwa APARNET based in USA Concept ya kibiashara iliyoitwa NPL( National Physical labarory england) based in england na concept ya kisayansi iliyokuwa based france iliyoitwa CYCLADES
   
 12. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #12
  Jun 28, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  internet....internetworking computers..
   
 13. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #13
  Jun 28, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Nani mmiliki wa ainternet ?

  Ingawa chanzo na umiliki wake mwanzo ulianzia kwenye jeshi la marekani Hivi Sasa internet haina mmiliki. Lakini kitu kisichokuwa na msimamizi kinaweza kusababisha matatizo kwenye mambo fulani fulani . kuna baadhi ya vitu na mambo ya internet imebidi viwekwe chini na Non profit institution kufanya cordination ya mambo kusitokee mkanganyiko

  ICANN- imepewa jukumu la ku crordinate mambo ya DNS na IP adress. Hivi sasa Ip adress zinaztumika ni Ipv4 na dadi ya zilizopo ni chache sana kuendana na mahitaji. So taasisi kama hii ndo iliyotoa mwongozo wa jinsi IPv6 inavyotakiwa kuwa.

  Soma maelezo ya About ICANN hapa ICANN | About katika maelezo yao unaona wanasisitiza

  So unaweza kuona Internet haina manager bali ina tasisi zinazfanya cordination

  Taasisis nyingine inahusika na mambo ya internet inaitwa internet Engineering Task Force ( IETF)

  Next itakuwa faida na hasara. nadhani zipo maelefu na maelfu nzuri na mbaya . Tutaendelea

  Hahahha hawa madogo naona wamesitisha operation yao Antisec.   
 14. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #14
  Jun 28, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280

  settlite ina uhusiano gani na internet?
   
 15. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #15
  Jun 28, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Katika mawasiliano au communication kuna vitu vikuu
  • Mtumaji /sender
  • Mtumimiwaji /Receiver
  • ujumbe - Message/
  • Medium- Njia inayotumika kusafirisha ujumbe (
  Sasasa satelite ni moja ya medium of communication inayonaotumika kusafiririsha ujumbe kutoka sehemu moja kwenda nyingine.

  Mawasiliano ya Ulaya na marekani ya internet yanatumia waya uliopita chini ya maji na si satelite. hii medio ya wire inaitwa fiber optic na ndio utakuwa umesikia a hata tanzania na afrika kuna mkonga ulikuwa unatandazwa kuunganisha afrika au africa mashariki na mabara mengine kwa waya hhio za fiber opitic zinazopita baharini.

  Huu mkonga ni katika kuboresha quality ya internet ya usafirishaji wa data wa kasi wa internet. Satelite ziko slow ukilinganisha na fiber optic.

  Satelite communication s ni somo na mada nyiinginendrefu na interesting sana unaweza kuchgulia hapa HowStuffWorks "How Satellites Work"
   
 16. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #16
  Jun 28, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280

  thank you!
   
 17. redSilverDog

  redSilverDog JF-Expert Member

  #17
  Jun 28, 2011
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 486
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  kuuliza siujinga, lakini....:evil:
   
 18. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #18
  Jun 28, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  endeleaza kuuliza tu Rosmarie

  lakini sasa ebu na wewe zamu yako taja au fafanua au toa mifano ya faida na hasara ya internet. Au ongelea kitu chochote kuhusu internet ambacho unapenda kutujulisha . Imeandikwa peaneni..... msinyimane. In thi case I mean maarifa teh teh teh teh

  Na maarifa yananoga pale yanapo tiririka both side. to and from .
   
 19. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #19
  Jun 28, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280

  faida nazojua mimi ni easy comminication,ndiyo maana siku hizi hatuandikiani barua kama zamani,tuna email,hasara ndio hivyo no private
   
 20. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #20
  Jun 28, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280

  swali lako gumu kwelikweli,hapo ulipo labda unaniona kweupe!!
  natamani ningekuwa hacker ningefanya vurugu mpaka watu wangekoma,
   
Loading...