#COVID19 WHO kuanzisha kituo cha chanjo za Covid19 Afrika Kusini

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,005
9,872
Shirika la Afya Duniani(WHO) limetangaza kuanzisha kituo cha kutengeneza chanjo za #COVID19 zinazotumia mRNA Afrika Kusini

Kituo hicho kitasaidia kuwapa utaalamu na leseni kampuni za Uchumi wa Kati na Chini kuzalisha chanjo hizo

Hadi sasa chanjo zinazotumia mRNA ni Astrazeneca na Moderna

=====

The World Health Organization (WHO) has said it is setting up a hub in South Africa to give companies from poor and middle-income countries the know-how and licences to produce COVID-19 vaccines, in what President Cyril Ramaphosa called an historic step to spread lifesaving technology.

The “tech transfer hub” could make it possible for African companies to begin manufacturing mRNA vaccines – the advanced technology now used in shots from Pfizer-BioNTech and Moderna – in as little as nine to 12 months, the WHO said.

Biden orders review of US intelligence on origins of coronavirus WHO Director-General Tedros Adhanom Ghebreyesus made the announcement aimed at boosting access to vaccines across the African continent, where coronavirus infections and deaths increased by almost 40 percent over the past week.

“Today I am delighted to announce that WHO is in discussions with a consortium of companies and institutions to establish a technology transfer hub in South Africa,” Tedros said during a press briefing in Geneva on Monday.

“The consortium involves a company Afrigen Biologics & Vaccines, which will act as the hub both by manufacturing mRNA vaccines itself & by providing training to a manufacturer Biovac,” he added.

WHO chief scientist Soumya Swaminathan said there were several options on the table, mainly smaller companies and biotechs, adding: “We are also in discussions with larger mRNA companies and hope very much they will come on board.”

Pfizer and BioNTech, along with Moderna, are the main producers of COVID-19 vaccines using mRNA technology.

“We could see within nine to 12 months vaccines being produced in Africa, South Africa,” Swaminathan said.

2020-12-13T174435Z_2059744221_RC2DMK9BKVDK_RTRMADP_3_HEALTH-CORONAVIRUS-VACCINES.jpg

‘Change the narrative of Africa’​

Ramaphosa said the initiative “will change the narrative of an Africa that is a centre of disease and poor development”.

“This landmark initiative is a major advance in the international effort to build vaccine development and manufacturing capacity that will put Africa on a path to self-determination,” he said.

The South African president, referring to talks at the World Trade Organization (WTO) on its proposal for a waiver on intellectual property on COVID-19 vaccines, added: “Today is historic and we see this as a step in the right direction but it does not distract us from our original proposal put together by India and South Africa that we should see a TRIPS waiver at the WTO.”

The South African president said many people in developing countries were “still struggling for access to vaccines that are made in their billions in the North”.

He said the unequal vaccine distribution was unfair, describing those in rich countries as having lives “worth much more than the lives of those in poorer countries”.

Campaigners welcomed the move and urged the pharmaceutical companies to go further. “What needs to happen next is Moderna and Pfizer/BioNTech must immediately share their mRNA technology with the hub so that many more mRNA vaccines can be produced independently by manufacturers in South Africa and more broadly on the African continent, as soon as possible,” Kate Stegeman, Advocacy Coordinator, MSF Access Campaign in South Africa, said in a statement.

“All pharmaceutical corporations that share their technology with the hub through technology transfer agreements must do so in a transparent and non-restrictive way to maximize the chance of success: any licenses must include all low- and middle-income countries, and technology recipients must be free to build on the platform technology to tackle other health threats.”

Also on Monday, WHO emergencies chief Dr Michael Ryan said the UN health agency would follow up with Olympic and Japanese authorities about their decision on Monday to allow domestic fans to attend the summer games.

Ryan noted that Japan’s recent COVID-19 rates were lower than those seen in many other countries, including the United Kingdom, United States, France and the Netherlands.
 
Akili za Director General wa WHO pamoja na baadhi ya viongozi wa Afrika zikoje lakini? DG was WHO akuona vipi basi chanjo hizo azipeleke nchi mwake Ethiopia.

Waafrika hatuitaji chanjo zinazo zalishwa kwa teknolojia ya kijinetiki (mRNA) badala ya kutumia mbinu za asili zinazo tumika kuzalisha chanjo kwa zaidi ya miaka mia moja - mfano: chanjo za Ndui, Measles, TB, Polio, Ebola, Kifadulo nk.

Kwa nini corrupt WHO, World Bank, Viwanda vya madawa/Chanjo vya Merikani pamoja na genge la Bill Gates na mkewe wanataka kulazimisha Waafrika kuchanjwa chanjo za mRNA zenye utata mwingi na madhala yasiyo tabirika mfano:kugandisha damu,magonjwa ya moyo,wengine kukumbwa na ugonjwa wa kifafa, baadhi ya walio chanjwa kuambukizwa na covid-19!! Hayo ni baadhi ya madhara yanayo onekana hivi sasa, hatujui long term athali za chanjo za mRNA ni zipi? Juzi hapa nilimsikia waziri wa Serikali ya Uingereza akihojiwa na waandishi wa habari kuhusu chanjo hizi tata za mRNA, alipo banwa kwa maswali alijibu kwamba hata mkidungwa chanjo nyie endeleeni kuvaa barakoa - just imagine, wazalishaji chanjo hawana uhakika na effect na after effect za chanjo zao.

Cha ajabu hatujawahi kusikia chanjo za COVID-19 zinazo zalishwa huko Uchina,Urusi na Cuba ziki sababisha madhara yoyote kwa binadamu hii inatokana na chanjo zenyewe kuzalishwa kwa njia ya asili (virusi vilivyo kuwa attenuated) tofauti kabisa na chanjo zinazo zalishwa na mataifa ya magharibi - sasa kwa nini Serikali za Kiafrika zinaingizwa kichwa kichwa kwenye mitego ya Western Big Pharma Companies ambazo hatujui ajenda zao ni zipi kuhusu Bara letu la Afrika na nchi masikini.

Nirudie kukumbusha viongozi wetu wa Bara la Afrika kwamba kama kutakuwepo ulazima wa kuwachanja RAIA wake wote tutakuwa salama tukichanjwa chanjo zinazo zalishwa kutoka Uchina,Urusi na Cuba ambazo hazikuzalishwa kwa teknolojia ya kijinetiki yenye utata - hayo ni maoni yangu.
 
Akili za Director General wa WHO pamoja na baadhi ya viongozi wa Afrika zikoje lakini?? DG was WHO akuona vipi basi chanjo hizo azipeleke nchi mwake Ethiopia.

Waafrika hatuitaji chanjo zinazo zalishwa kwa teknolojia ya kijinetiki (mRNA) badala ya kutumia mbinu za asili zinazo tumika kuzalisha chanjo kwa zaidi ya miaka mia moja - mfano: chanjo za Ndui,Measles,TB,Polio, Ebola, Kifadulo nk
You spoke my mind

Yaani kampuni ianze majaribio mara ghafla inatoa haki kwa kampuni nyengine kuigilizia kile ambacho imewekeza kwa mataji mkubwa kirahisirahisi tuuuuuuuuu. Ni dhahiri bado wanaaona kuwa soko kubwa ni Africa na waafrica wako divided on this monster...... tutaona mengi
 
Akili za Director General wa WHO pamoja na baadhi ya viongozi wa Afrika zikoje lakini??

Waafrika hatuitaji chanjo zinazo zalishwa kwa teknolojia ya kijinetiki (mRNA) badala ya kutumia mbinu za asili zinazo tumika kuzalisha chanjo kwa zaidi ya miaka mia moja - mfano: chanjo za Ndui,Measles,TB,Polio, Ebola, Kifadulo nk. WHO wanataka kulazimisha Dunia ichanjwe chanjo za type ya mRNA kutokana na shinikizo kutoka makampuni makubwa ya chanjo ya huko Merikani.

Narudia kusema tatizo hapa linatokana na corruption ndani ya taasisi ya WHO, ikishirikiana na World Bank, Viwanda vya madawa/Chanjo vya Merikani pamoja na genge la Bill Gates na mkewe wanataka kulazimisha Waafrika kuchanjwa chanjo za mRNA zenye utata mwingi na madhala yasiyo tabirika mfano:kugandisha damu,magonjwa ya moyo,wengine kukumbwa na ugonjwa wa kifafa, baadhi ya walio chanjwa kuambukizwa na covid-19!! Hayo ni baadhi tu ya madhara yanayo onekana hivi sasa, hatujui long term athali za chanjo za mRNA ni zipi?

Juzi hapa nilimsikia waziri wa Serikali ya Uingereza akihojiwa na waandishi wa habari kuhusu chanjo hizi tata za mRNA, alipo banwa kwa maswali alijibu kwamba hata mkidungwa chanjo nyie endeleeni kuvaa barakoa - just imagine, wazalishaji wa chanjo hawana uhakika na effect na after effect za chanjo zao.

Cha ajabu hatujawahi kusikia chanjo vza COVID-19 zinazo zalishwa huko Uchina,Urusi na Cuba ziki sababisha madhara yoyote kwa binadamu, hii inatokana na chanjo zenyewe kuzalishwa kwa njia ya asili (virusi vilivyo kuwa attenuated) tofauti kabisa na chanjo zinazo zalishwa na mataifa ya magharibi - sasa kwa nini Serikali za Kiafrika zinaingizwa kichwa kichwa kwenye mitego ya Western Big Pharma Companies ambazo hatujui ajenda zao ni zipi kuhusu Bara la Afrika na nchi masikini.

Nirudie kukumbusha viongozi wetu wa Bara LA Afrika kwamba kama kutakuwepo ulazima wa kuchanja RAIA wake wote tutakuwa salama tukichanjwa chanjo zinazo zalishwa kutoka Uchina,Urusi na Cuba - hayo ni maoni yangu.
 
Back
Top Bottom