Who is who in the Public Opinion (General Elections, Tanzania) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Who is who in the Public Opinion (General Elections, Tanzania)

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Sophist, Sep 19, 2010.

 1. Sophist

  Sophist JF-Expert Member

  #1
  Sep 19, 2010
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 3,087
  Likes Received: 1,731
  Trophy Points: 280
  Please, kuna anayejua matokeo ya Kura ya Maoni yanayotarajiwa kutolewa hivi karibuni na Kampuni ya Snovate (zamani Steadman)? Nani anaongoza kura hii ya maoni baina ya wagombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kura ya maoni iliendeshwa kati ya September 3-11. CCM wameishajua kilichomo na wameanza mkakati kukabili matokeo yeneywe, kwa upande mmoja, na madhara ya matokeo hayo kwa upande mweingine.
  Mwenye taarifa azirushe humu ndani.
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Sep 19, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Kuna moja imerushwa na member mpya sasa hivi(ni ya usalama wa taifa!)...inataka moyo kuiamini, lakini huenda ina ujumbe ndani!
   
 3. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #3
  Sep 19, 2010
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  The guardian on sunday wanasema 85% ya waliohojiwa wanasupport ccm na chadema na kuna difference ya 3% between ya two parties lakini who is leeding between the two is not known, may be chadema ndio maana hawajatoa matokeo
   
 4. D

  Dopas JF-Expert Member

  #4
  Sep 20, 2010
  Joined: Aug 14, 2010
  Messages: 1,151
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Chadema 44% CCM 41% Jumla 85%

  Soma post ya mzizimkavu
   
 5. Augustine Moshi

  Augustine Moshi JF-Expert Member

  #5
  Sep 20, 2010
  Joined: Apr 22, 2006
  Messages: 2,214
  Likes Received: 315
  Trophy Points: 180
  Shame on the Guardian. They should have the courage to call a spade a spade.

  Be that as it may, but the use by date for CCM passed a long time ago. No amount of fearful reporting by the Guardian will buy more time for CCM. Wamehodhi madaraka bila kuleta maendeleo muda mwingi ya kutosha. Tumewachoka sana! Wametunyonya vya kutosha. Sasa tunataka mabadiliko.
   
Loading...