Who is this?

KAKA A TAIFA

JF-Expert Member
Apr 27, 2011
566
80
New fashion for simple president buying from his pocket not being given
 

Attachments

  • FASHION&BEAUTY.jpg
    FASHION&BEAUTY.jpg
    28.4 KB · Views: 492
Cha mtu mavi ukikiona kiteme mate, haya jamaa yetu kutaka misuti ya bei mbaya ya kuhongwa inamtokea puani sasa, unaona dogo alivyo simple na viwalo vya kununua mwenyewe.
 
Naona na Mkulu wetu naye anajitutumua ili aendane na Obama lakini umri ndo unamtupa.
 
Nimeipenda sana hii inaonyesha uhalisia wa mtu , ukweli wa ndani, na uwazi wa dhati,vijana tuige mifano kwa vitendo, chako ni chacho,
 
Utaheshimika sana kwa mambo madogo lakini yenye maaana kubwa sana, huyo jamaa anajingea misingi ya kesho kwa njia ya kistaarbu sana.
 
Back
Top Bottom