Who is the next target?

pepsin

JF-Expert Member
Apr 23, 2015
3,465
6,109
Rais Magufuli anaendelea kutumbua majipu yanayoisababishia hasara nchi kwa namna moja au nyingine.

Baada ya kutumbua majipu TPA, TRA, TAKUKURU etc next target ni upi/yupi ili tupunguze kustuka?

To me CAG is the one maana audit za TPA na TRA lazima zitamgusa kwa namna moja ama nyingine.

Je, wewe mdau unafikiri/natamani nani awe kwenye 18 za mtumbua majipu, Dr.Magufuli?
 
Mashirika ya umma na board zake huko kuna uozo mwingi, pengine ATC inaweza kufufuliwa!
 
Mh.rais Magufuli anaendelea kutumbua majipu yanayoisababishia hasara nchi kwa namna moja au nyingine.
Baada ya kutumbua majipu TPA,TRA,TAKUKURU etc ,next target ni upi/yupi ili tupunguze kustuka?
To me,CAG is the one maana audit za TPA na TRA lazima zitamgusa kwa namna moja ama nyingine.
Je,wewe mdau unafikiri/natamani nani awe kwenye 18 za mtumbua majipu,Dr.Magufuli?

TPA nasikia ilikuwa haikaguliwi na CAG sina uhakika ila naambiwa walikuwa wanakaguliwa na kampuni ndogo ndogo za ujanja za ukaguzi.Mategemeo yangu NBAA watafuatilia Hao wakaguzi wao pia wa Ndani na wa nje kuangalia hizo kaguzi zao zikoje na wachukue hatua stahiki kwa wahusika
 
Vipi kuhusu TISS!
Huu ubaridhifu uliofanyika hawakuzembea sehemu kweli?
 
Back
Top Bottom