Bongo niliiona moja kule o'bay ya mwaka 2010,bonge 1 la dude.Kuna kitu kinaitwa Lincolin Navigator
Hizi zote ni sedans mkuu?Mbona simuoni Bugatte, Landrover/Rangerover, Dodge, Hammer wala Jeep
Ni hatari hiyo kitu ni dunia nyingineBongo niliiona moja kule o'bay ya mwaka 2010,bonge 1 la dude.
Ni gari nzuri kwa ndani ni bora zaid ya noahWakuu hili gari mnalizungumziaje kwa wazoefu "Honda stepwagon"
Hizo sio Sedan Ni MvsMbona simuoni Bugatte, Landrover/Rangerover, Dodge, Hammer wala Jeep
Unaelewa maana ya Sedan mkuu??Mbona simuoni Bugatte, Landrover/Rangerover, Dodge, Hammer wala Jeep
Mleta mada naona ameleta list ya makers tu.Unaelewa maana ya Sedan mkuu??
1. Marcedes Benz?
2. BMW?
3. Toyota?
4. AUDI?
5. Volkswagen?
6. Nissan?
7. Volvo?
hiyo siyo SEDAN mkuuKuna kitu kinaitwa Lincolin Navigator
Ooh. Ni kweli mkuu, nimelewa na SUV hadi najisahau...hiyo siyo SEDAN mkuu
1. Marcedes Benz?
2. BMW?
3. Toyota?
4. AUDI?
5. Volkswagen?
6. Nissan?
7. Volvo?
Uchaguz bado