pipikijiti
JF-Expert Member
- Apr 25, 2017
- 309
- 406
Battle ya magari kama unavideo za battle kama hizi tupia hapa tuone who is a king of road,,wengi tunajiulizaga mfano range Rover na land cruiser ipi bora? Sasa huu uzi ni special kwa kushindanisha magari mbali mbali kama unavideo za battle ruksa kiweka wakuu,,,
Mi naanza na hii,hii ilibase off road kati ya land cruiser 200 na range rover sports,,,kwa nilivyotathimin range rover alikalishwa,,,na hzo nyngne nmeona kama land cruiser anaonesha ubabe tu,,,,tupia na yuko tuone