Who is the Best Provider | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Who is the Best Provider

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Yona F. Maro, Feb 18, 2009.

 1. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #1
  Feb 18, 2009
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Who is currently the most reliable, with most efficient services of all the Internet service providers in Tanzania - Including Zantel and Zain - for a midium sized company and why would you recommend them?
   
 2. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #2
  Feb 19, 2009
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Na mimi ningependa kujua, kwa utafiti wangu inaonekana bei za business connection itakua balaa angalia hii ya TTCL
  256 Kbps 3,200,000 a month!! Na download limit najua itakua ndogo sana. Na kwa uzoefu wangu wa kutumia C@fe zinazotumia TTCl reliability haijatulia.

  Sidhani kama unaweza kutumia Zain or Zantel kwa ajili ya biashara, utaumiza sana mfuko.
   
 3. Modereta

  Modereta Senior Member

  #3
  Feb 19, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 163
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  TTCL wanayo kila sababu ya kuwa wazuri. Tatizo lao ni kufikiria kijima na si kibiashara. Kwa mfano, ile broadband services wanayotumia line za simu zilizopo, wanachoongezea kwenye investment ni mitambo, distribution infrastructure ipo, lakini wanataka kuchaji juu.

  Spidi yao ni nzuri, uhakika (reliability) ni kama 80%, Bei wangelenga kwenye matumizi hasa kwa SME na home broadband badala ya charges za sasa ambazo hazina mfumo unaoeleweka.

  Ushauri kwao ni kuwa,
  1. Walenge mikakati ya kibiashara, swala si kupandisha bei tu wakati ungewavutia wengi kwa kuweka bei poa, anaglia TIGO, (bahati mbaya wanataka wateja walipie na uzembe/wizi na ubabaishaji wao) hawana sababu ya kuchaji bei za juu kwa huduma ndogondogo, "profit from volumes and not from high margins"

  2. Watenge makundi matatu au manne yawateja yaani wakubwa, wa kati wadogo na/au wa nyumbani.
  3. Wafikirie kibiashara AFTER SALE SERVICES ni muhimu sana, hebu piga simu kutaka msaada wao hasa usiku??? utafaidi limuziki lao mpaka masikio yaume.
  4. WATUMIE MTANDAO WALIONAO KUTOA TAARIFA, inachekesha kwamba kampuni ya mawasiliano websites zao bado zinazungumza mambo ya mwaka juzi, HAWA-UPDATE HARAKA na wao ndio wakongwe wa mawasiliano, wengine wafanyeje kama wao ndio walitengemewa kuweka "standards".
  5.WAanzishe NEWSLETTER kufahamisha watu maendeleo na mafunzo

  yako mengi wanayoweza kufanya.
   
 4. Sanctus Mtsimbe

  Sanctus Mtsimbe Tanzanite Member

  #4
  Feb 19, 2009
  Joined: Jul 14, 2008
  Messages: 1,815
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  Shy;

  Of course look for the best in reliability of the link, customer care and support and then better prices.

  Of course, you can keep in touch with SimbaNET . . . .
   
 5. waukae

  waukae Member

  #5
  Feb 24, 2009
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  modereta uko sahihi kabisa web zao kama mfano tigo haina lolote jipya tangu iwekwe!!
   
Loading...