Who is the best man never to be President?

Who is the best person never to become president?

  • Oscar Kambona

    Votes: 0 0.0%
  • Augustin Mrema

    Votes: 0 0.0%
  • Other

    Votes: 0 0.0%

  • Total voters
    18

MwanaFalsafa1

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
5,565
836
Who is the best person never to become president of Tanzania? And this is from a list of politicians who could at one point make a run for office or run and didn't win.

Oscar Kambona- Huyu alikuwa waziri wa mambo ya nje wa Tanzania na kipindi fulani rafiki mkubwa wa Mwl Nyerere kabla ya kutuhumiwa kwa uhaini na kukumbia nchi.

Edward Sokoine- Kipenzi cha Watanzania wengi na kiongozi aliye chukia na kupambana na rushwa kuliko wote. Waziri mkuu pekee aliye kuwa na meno.

Salim Ahmed Salim- Ina semekana Nyerere ali taka huyu ndiyo awe mrithi wake sema kutokana na Wazanzibar kuto kumkubali kutokana na historia yake ilibidi nafasi hiyo apewe Mwinyi.

Augustin Mrema- Aliji zolewa umaarufu mkuwa akiwa waziri wa mambo ya ndani na uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi ndiye aliye kua mpinzani mkuu.

Dr. W. Slaa- MP na katibu mkuu wa Chadema. Mtu aliye leta upinzani mkubwa kwenye uchaguzi tokea Mrema.

Other- Kama kuna jina unaona siku litaja hapa na ndiye anae stahili zaidi.
 
Mrema hafai kuwa kwenye hiyo list! he lacks natural intellectual thinking and reasoning from the series of events, comments and deeds we have envisaged from him in a short span of his years in opposition!
 
Unaposema Never unamaanisha nini?, maana kuna wengine bado wako hai, wanaweza kuwa Marais
 
Unapochanganya waliokufa na walio hai na matumizi ya neno "never" utakuwa gamba na unamlenga dr Slaa.
 
what will you do with dead? good and bad people dies any ways....
 
Back
Top Bottom