Loyal_Merchant
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 623
- 267
Katika sayansi watajwa hapo juu wanahesabika kwamba wana mchango mkubwa. Tukianza na NEWTON anajulikana sana uvumbuzi wa laws of motions na pia wengi wanafahamu kuwa amegundua hesabu ikiwamo calculus. Tukija kwa EINSTEIN, yeye anajulikana kwa theory of relativity pamoja na equation of life and death i.e E=MC^2. Ndo aliepelekea kwa kiwango kikubwa uendelezwaji wa nuclear and material physics. Na mwisho ni LIEBNITZ, huyu alikuwa mathematician na ndo inasemekana newton aliiba documents zake zlzokuwa znazungumzia uvumbuz wa calculus ikiwamo line, double and triple intergral na kwamba newton aliiba tu na kuwah kupublish idea. Na ikumbukwe calculus unaweza sema ndo back bone ya science coz almost vi2 vngi ktk sayansi vnategemea uwepo wake either kuviprove au kuvidevelop. So nan unadhan anadeserve kuwa best scientist of all time.? Je unadhan kuna mwngne zaid ya watajwa anaestahili?