Who is Salim Ahmed Salim?

Gamba la Nyoka

JF-Expert Member
May 1, 2007
7,022
9,285
Biography of Dr. Salim Ahmed Salim

Dr. Salim Ahmed Salim, who concluded his term of office as Secretary General of the Organization of African Unity on 17 September 2001 after serving an unprecedented three terms covering a period of twelve years, is now involved in several activities. He has functions and responsibilities at national, continental and international levels.

At the national (Tanzania) level he is serving as the Chairman of the Board of Trustees of The Mwalimu Nyerere Foundation. He is also the Chancellor of the Hubert Kairuki Memorial University.

At the continental level, following the invitation of the President of the African Development Bank, he has since March, 2002 been acting as African Water Ambassador whose responsibilities include advocacy, sensitization, and mobilization of support on African water issues.

He also serves as:

Chairperson, Advisory Board, Institute of Security Studies (ISS) based in Pretoria, South Africa.

Chairperson of the International Board of Trustees, Africa Humanitarian Action (AHI) based in Addis Ababa, Ethiopia.

Member and Chairperson of the Advisory Board of Trustees of the Institute of Peace, Leadership and Governance, Africa University, Mutare, Zimbabwe.

At international level, Dr. Salim serves in the following Boards, Panels/Commission.

Co-chair, Eminent Persons Group (EPG) on Small Arms and Light Weapons (Secretariat, based in Washington DC);

Member of the Board of the South Centre (Secretariat based in Geneva);

Member, Policy Advisory Commission, World Intellectual Property Organization (WIPO); Member of the Foundation Council, Centre of Humanitarian Dialogue based in Geneva.

Previous Experience and Positions Held:
Dr. Salim Ahmed Salim was elected Secretary-General of the OAU on 27 July 1989. He formally took over on 19 September 1989. Prior to his election, Dr. Salim held public office in his country, the United Republic of Tanzania, where he served in various capacities for 27 years. He was Prime Minister from 1984 to 1985 and then served as Deputy Prime Minister and Minister of Defense and National Service from 1985 until his election to the helm of the OAU General Secretariat.

Dr. Salim also held other key positions in the Government of the United Republic of Tanzania. He served for many years in the Tanzanian diplomatic service which he also steered as Minister for Foreign Affairs for four years from 1980 to 1984. His rise to the top of Tanzania's Foreign Service was preceded by many years of grounding in international diplomacy as Ambassador.

He served as Ambassador to the Arab Republic of Egypt (1964-1965), High Commissioner (i.e. Ambassador) to India (1965-196. He was, for one year, the Director of Africa and Middle East Division in the Ministry of Foreign Affairs in Dar-es-Salaam before his posting as Ambassador to the People's Republic of China in 1969. In 1970, he was appointed Tanzania's Permanent Representative to the United Nations in New York, where he remained for more than ten years. During his period at the United Nations, Dr. Salim was concurrently accredited as Ambassador to Cuba, High Commissioner to Guyana, Barbados, Jamaica and Trinidad and Tobago.

During his service at the United Nations, Dr. Salim was elected as President of the United Nations Security Council in January 1976 and went on to serve as President of the Thirty-Fourth Session of the United Nations General Assembly in September 1979.

During his one year tenure of office, he also presided over the Sixth and Seventh Emergency Special Sessions of the United Nations General Assembly in January and July 1980 respectively. In September 1980, he equally presided over the Eleventh Special Session of the United Nations General Assembly.

Dr. Salim was Chairman of the United Nations Security Council Committee on Sanctions Against Rhodesia from January to December 1975, President of the International Conference on Sanctions against South Africa in 1981 as well as the Paris International Conference Against Apartheid in 1984. Between 1972 and 1980, he chaired the United Nations Special Committee on Decolonization (Committee of 24).

During this period under his chairmainship, the Committee played a key role in steering many colonies and non-self governing territories to full sovereignty and independence. Dr. Salim also served on the Palme Independent Commission on International Security Issues and the Independent Commission on International Humanitarian Issues.

Dr. Salim has attended and/or chaired numerous Summits, International Conferences, Seminars, Workshops and Colloquia under the auspices of the United Nations, the Organization of African Unity, the Non-Aligned Movement and others throughout the world.

Educational Qualifications and Honorary Degrees:
Dr. Salim undertook studies at the University of Delhi, India (1965-196 and proceeded to obtain a Masters Degree in International Affairs in January 1975 at Columbia University in New York. He holds six Doctorates (Honoris Causa) including: Doctor of Laws, the University of Philippines at Los Baños (1980), Doctor of Humanities, University of Maiduguri, Nigeria (1983), Doctor of Civil Law, University of Mauritius (1991), Doctor of Arts in International Affairs, University of Khartoum, Sudan (1995), Doctor of Philosophy in International Relations, University of Bologna, Italy (1996), and Doctor of Laws, University of Cape Town, South Africa (199.

Honours and Decorations:
Dr. Salim holds a number of decorations/honours (including some of the highest national honours). Among them are the Star of Africa (Liberia, 1980), the Order of the United Republic of Tanzania – Nishani Ya Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania, 1985), Order of Mille Collines (Rwanda, 1993), Grande Croix de l'Ordre Congolais du Dévouement (Republic of Congo, 1994), Grand Officier de l'Ordre du Mérite (Central African Republic, 1994), Medal of Africa (Libya, 9.9.99), Grand Officier de l'Ordre National du Lion (Sénégal, 2000), Order of the Two Niles (Sudan, 2001), Ordre El-Athir (Algeria, 2001), Ordre du Mono (Togo, 2001), Commandant de l'Ordre National (Mali, 2001).

Born in Zanzibar on 23 January 1942, Dr. Salim Ahmed Salim is married to Amne. They have three children: Maryam, Ali and Ahmed.

Dar-es-Salaam
April 2002
 
Congrats gamba la nyoka, naona umebadilisha ile signature yako ambayo ilikuwa ni quote ya fisadi Mkapa...:)
 
Congrats gamba la nyoka, naona umebadilisha ile signature yako ambayo ilikuwa ni quote ya fisadi Mkapa...:)

Bubu sijawahi, kubadili signature tangu nijiunge na Jf.

nikirudi kwenye mada, Unaweza kuona kuwa Salim A Salimu ni kiongozi ambaye viongozi wengi wanaweza kujifunza mambo mengi sana, kusema kweli mimi binafsi nilikuwa siijui historia ya huyu bwana mpaka nilipoidaka article. jamaa ni mtu wa kujiendeleza, cheki hata alipokuwa ameshakamata nafasi nyingi tu za juu lakini alikuwa haachi kujiendeleza kimasomo kila alipopata upenyo.

kinachoniacha hoi jamaa akiwa na miaka 39 tu(mwaka 1981) tayari keshaanza kuusarandia ukatibu mkuu wa UN
 
Jamani CV imetulia kweli! DUH!

Hii ndio CV iliwekwa kule BCS lakini wengine tukarushiwa mchanga machoni; tukaambiwa etu urais hahutaji CV kubwa. Wakati JK alikuwa amempagawisha watu kama hawana akili nzuri!
 
CCM wakituletea huyu 2010 mbona nitawapenda!!, kama hawataweza kumwambia Vasco da Gama aachie usukani, basi angalau wamsimamishe Visiwani Zanzibar, just a wish.

Tena kama hawataki, heri utaratibu wa mgombea binafsi ungeharakishwa, hapo watanzania tunakamata huyu tunaunganisha na Dr.Slaa, bonge la timu ya ushindi halafu uone kama TZ haitabadilika,au sio jamani?
 
wakati huo alikuwa tayari anauzoefu wa kazi kama balozi wa
miaka 17. aliteuliwa balozi akiwa na umri wa miaka 22

Pamoja na uzoefu wake huyu jamaa na tena Mzanzibari sijui kwa nini CCM hawamtumii kwenye muafaka. kweli huyu asingeweza kutoa mchango maridhawa kwenye Muafaka wa zenji?
 
Salim Ahmed Salim Is The Best Presidential Material We Have Ever Losed, basi Tu 2005 tulijitahidi Kuwaelimisha Watu, but Utafikiri Walipitiwa Na "baby mla Vichwa” basi Tena, nafasi Imepotea.

Mkapa Pia Alchangia Kumuaharibia Baada Ya Kuzidiwa Nguvu Na Mtandao.

To Me Salim Is A Definate Choice!!!
 
hivi ukimsimamisha Salim kama mgombea wa CCM amid maskendo yote haya ya ufisadi na kwa upande wa upinzani wakaungana na kumpitisha Slaa kuwa mgombea wao mnadhani mchuano unaweza kuwa vipi?
 
Nafasi haijapotea bado, watanzania tukitaka kumpa nafasi hiyo mbona ni kiasi cha kuamua.

Ahsante kwa kutukumbusha hii cv tukufu, wanaJF tukimweleza utashi wetu na tukawambia watanzania wote tunachokiona ndani yake inawezekana kabisa hatimaye tukampa dhamana ya kuliongoza taifa.
 
Nakumbuka alivyochafuliwa kule BCS. Jamaa ukimlinganisha na JK ni kama maji na Mafuta!!!!
 
hivi ukimsimamisha Salim kama mgombea wa CCM amid maskendo yote haya ya ufisadi na kwa upande wa upinzani wakaungana na kumpitisha Slaa kuwa mgombea wao mnadhani mchuano unaweza kuwa vipi?

Maoni yangu ni kwamba, tusiwachuanishe, tutafute namna ya kuunganisha hizi figures for the sake of our nation jamani, i can see that day when one of them is a perezida and the other is the VP,... LOVELY!

On that day the mafisadi chapter will be closed and a new Bongoland will be brought afloat!
 
Tatizo la watanzania Amini msiamini kuna ka ukabila na ka ubaguzi ka kisirisiri. SALIM NI MPEMBA. KUWA RAIS IKO KAZI Someni historia za Zanzibar mtaona ni nmna gania Salim kuingia Ikulu itakuwa ngumu. watu wanatenda tofauti na wanavyopreach.

Shida, dhiki na Uwoga ndiyo adui wetu.
 
Kuna mtu amezungumzia kumhusisha Dk Salim kwenye mwafaka!

Labda niulize swali, WHY Mwafaka?

KWanini waafrika hatujifunzi demokrasia?

Mbona US baada ya uchaguzi wa 2000 hakuna aliyezungumzia kuundwa kwa serikali ya mseto kati ya Bush na Gore.. tofauti ya kura ilikuwa 0.2%!

Mbona hii miafaka iko Afrika tu?

Kama mtu akishindwa uchaguzi then analilia serikali ya mseto kuna haja gani basi ya kupiga kura, kwa nini tusikubaliane tu leo Rais anatoka CUF. VP CCM, baada ya miaka mitano zamu ya CCM.. VP atoke CUF?

Serikali inazidi kunenepa tu lakini tasa! Badala ya kufanya Reforms za maana tumekalia longolongo, kuanzia bungeni hadi wenyeviti wa mitaa!

Inabidi tujifunze demokrasia. Chama kimeshindwa uchaguzi, basi subirini next 5 years. In between, kaeni chini fanyeni uchambuzi yakinifu mlikosea wapi ili next time msishindwe uchaguzi, na kama chama kimeshinda uchaguzi kihakikishe kinatekeleza ilani yake ya uchaguzi ili next 5 years kiwe na evidence kwamba turudisheni madarakani.. we promised A, B , C... et cetera.. and we did it!

Si ndio maana watu wanasoma Political Science.. au kudesa kumezidi ikifikia ku-apply mambo tunaota matege kichwani?

Ingekuwa busara kama hela za walipa kodi zingetumika kwenye "vikao" vya kurekebisha katiba na kuboresha sheria za uchaguzi ili kuondoa mapungufu yanayojitokeza kila siku kama si kuyafuta kabisa!

Haya mambo ya Washington kutuamuru cha kufanya, sijui serikali ya mseto... ni Ukoloni tu!

Mbona wao hawajaribu huu upuuzi?
Washatuona Waafrika mazuzu.. akili kumkichwa Zero! inabidi tuache kuwa dictated na wakoloni!

Kila mtu anajua kuwa Pemba strategically ni ngome ya CUF kama Republicans walivyo na ngome kubwa Southern States. Ila si sababu ya kupiga propaganda kwamba bila CUF kuwa ndani ya serikali basi Pemba haitaendelea au sijui kama CCM itatoka madarakani basi kutatokea machafuko ...crap!!

Tuko kwenye karne ya 21, hakuna kitu kinachoshindikana.

It is always possible to possibily the impossibilities... watu wamesulubiwa, wakafa, wakafufuka na kwa mkwala wakapaa mbinguni.. then wakaahidi watarudi kama walivyopaa... sembuse waafrika kujitawala bila kutegemea wakoloni?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom