Who is Richard Kiyabo?

Watu

JF-Expert Member
May 12, 2008
3,231
1,470
Mwenyekiti wa muda wa CCJ, Richard Kiyabo???

Who is he? what do we know about him? mwenye CV yake atuhabarishe

2.jpg

Mwenyekiti wa Muda wa CCJ Richard Kiyabo (Kulia) akiwa na Katibu wake Renatus Mwabihi
 
I think he is just a front. Let us wait and see.

Uko sahihi mkuu, lakini bado hujajibu swali .

Huyo jamaa ni nani kwa maana ya wasifu na CV yake, kama una nyeti zimwage mzee.

Mzee wa madata FMEs, mwaga vitu
 
Lisije kuwa jina hewa kama yale wakurugenzi wa Kagoda Agriculture Ltd.
 
These CCJs has enjoyed free publicity!!! they are nothing... but just chosen good name!
 
Mwenyekiti wa muda wa CCJ, Richard Kiyabo???

Who is he? what do we know about him? mwenye CV yake atuhabarishe

Shida yako nini, kujua CV yake ama kujua ni jinsi gani Kiyabo na chama chake wanaweza kufanya katika kumsaidia mwananchi alipigika kutokana na uongozi uliochoka wa CCM? Wenye CV zilizosheheni wakati mwingine wanaweza wakawa si lolote si chochote inapokuja kwenye utendaji na matunda ya kazi.
 
Good timing as well! Wameweza pia kuutumia vizuri mgogoro uliopo ndani ya CCM.

Hata hiyo ni akili pia;
Tatizo ni je tuko tayari kuwaunga mkono katika adhma yao? Au bado tunamngojea nabii toka sayari ya Mars. Vitu vikubwa haviji kwa mbwembwe one day of favour is enough to change the whole story.....At least they dare to make a story what about you....Nyie endeleeni kusubiri majina makubwa na chambo katika ndoana za wavuvi....Lakini kwetu sisi nguvu yetu imo ndani yetu na twayaweza yote katika yeye atutiae nguvu.
 
Ni Mtanzania kama vile walivyo watu wengine ila hakuna jpya kwenye chama hiki na kuna vyama kibao hapa Tanzania.
 
These CCJs has enjoyed free publicity!!! they are nothing... but just chosen good name!

Ndugu zangu,CCJ is not a nothing,tunatakiwa kukiangalia kwa tahadhari.Tukifanya mchezo kitakuja kusumbua hiki chama....kumbukeni ni cha wanaojiita makamanda wa ufisadi ndani ya CCM>
 
Back
Top Bottom