Who is Renatus Pamba?

MwanaFalsafa1

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
5,565
834
Wakuu bwana Renatus Pamba ni diwani wa kata ya Sinza kupitia Chadema. Ningependa kujua zaidi kuhusu huyu kamanda. Maana kwa nilivyo sikia alikuaga msanii wa Bongo Flava sema akajiunga na Chadema kisha 2010 akagombea udiwani. Habari yake nilivyo isome ilikua fupi sanaaa na ningependa kujua zaidi kuhusu huyu mkuu maana anaweza kuwa inspiration kwa vijana wengine ambao wametokea kwenye hali ya kawaida.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom