paulo is his best friend.
wivu.com
paulo is his best friend.
Atakuwa alikosea alikuwa anamaanisha Paulo mfanyakazi mwenzake si unajua ukiumia unachanganyikiwa..!
wanawake ni watu wa ajabu sana. yaani paula ndiyo hoja zaidi kuliko hoja ya kuvunjika mguu kwa mumewe/mpenzi wake? wivu wa kike ni mzigo!!!
Yeah mweziwe anataka kukatwa mguu yeye anaendekeza wivu....
Duh salaleeee...
Wanawake mna wivu mbaya sana. Sijui kwanini??