Who is missing a lot?

Mpaka Kieleweke

JF-Expert Member
Feb 27, 2007
4,132
1,571
Sheikh mmoja na Padri walialikwa kwenye semina Nairobi
> Kenya.Siku moja jioni Padri alimpa ofa ya dinner huyu
> Sheikh. Wakati wanakula akaagiza bia na Sheikh
> akaagiza Fanta. Padri akamuuliza ,mbona huagizi bia?
> naye akajibu 'IT IS AGAINST MY FAITH'. Padri
> akajibu
> 'YOU ARE MISSING A LOT'.
>
> Kwa sababu walikuwa wameanza kuzoeana kesho yake Padri
> akatoa ofa ya lunch pia.Ilikuwa ni buffet na kitimoto
> kilikuwepo.Kwenye sahani ya Padri kitimoto kilikuwepo
> lakini Sheikh hakuchukua. Wakati wanakula Padri
> akamuuliza Sheikh mbona hakuchukua kitimoto?. Sheikh
> akajibu 'IT IS AGAINST MY FAITH'.Padri akajibu
> 'YOU
> ARE MISSING A LOT'
>
> Jioni walipanda ndege kurudi Dar na pale Airport
> Sheikh alipokelewa na binti zake watatu warembo
> sana.Naye akawatambulisha kwa Padri ambaye alionyesha
> kuvutiwa sana na warembo hao.Sheikh alimuangalia Padri
> na akagundua kwamba amevutiwa na binti zake,
> akamwambia anaweza akaoa mmoja. Padri akajibu 'IT IS
> AGAINST MY FAITH'. Sheikh akajibu 'YOU ARE MISSING
> A
> LOT A LOT '
>
> WHO IS MISSIG A LOT?
 
Its very nice, it made me laugh with tears.

They both miss what each other can have according to their FAITH.

I am not missing a lot though!
 
> Jioni walipanda ndege kurudi Dar na pale Airport
> Sheikh alipokelewa na binti zake watatu warembo
> sana.Naye akawatambulisha kwa Padri ambaye alionyesha
> kuvutiwa sana na warembo hao.Sheikh alimuangalia Padri
> na akagundua kwamba amevutiwa na binti zake,
> akamwambia anaweza akaoa mmoja. Padri akajibu 'IT IS
> AGAINST MY FAITH'. Sheikh akajibu 'YOU ARE MISSING

Padiri aliwezaje kuwaona kama kweli ni mabinti wa shekhe..mambo ya kininja? Au anamacho ya UV au X-Ray?

Nways, kama Padiri udenda ulimtoka its likely he is the one missing ..
 
How come Sheikh anajua kitu kizuri anacho-miss Padre kwa wanae? Ina maana Sheikh alishaonja au????Au ndio walivyo?
 
Siku yoyote ile hapa duniani nitaweka pembeni mfalme wa meza na maji ya gold ili kupata nafasi ya kuwa na kimwana kilichoumbwa na kuumbika...:) Mungu hakukosea ati alipowaumba wanawake na kuwaleta duniani wanafanya mengi sana duniani kama mama zetu, dada zetu, shangazi zetu, bibi zetu, marafiki zetu, wanetu, wake zetu n.k. :)
 
Siku yoyote ile hapa duniani nitaweka pembeni mfalme wa meza na maji ya gold ili kupata nafasi ya kuwa na kimwana kilichoumbwa na kuumbika. Mungu hakukosea ati alipowaumba wanawake na kuwaleta duniani wanafanya mengi sana duniani kama mama zetu, dada zetu, shangazi zetu, bibi zetu, marafiki zetu, wanetu, wake zetu n.k. :)

Thanks big time! you are not from Mars!
 
Back
Top Bottom