Mpaka Kieleweke
JF-Expert Member
- Feb 27, 2007
- 4,132
- 1,575
Sheikh mmoja na Padri walialikwa kwenye semina Nairobi
> Kenya.Siku moja jioni Padri alimpa ofa ya dinner huyu
> Sheikh. Wakati wanakula akaagiza bia na Sheikh
> akaagiza Fanta. Padri akamuuliza ,mbona huagizi bia?
> naye akajibu 'IT IS AGAINST MY FAITH'. Padri
> akajibu
> 'YOU ARE MISSING A LOT'.
>
> Kwa sababu walikuwa wameanza kuzoeana kesho yake Padri
> akatoa ofa ya lunch pia.Ilikuwa ni buffet na kitimoto
> kilikuwepo.Kwenye sahani ya Padri kitimoto kilikuwepo
> lakini Sheikh hakuchukua. Wakati wanakula Padri
> akamuuliza Sheikh mbona hakuchukua kitimoto?. Sheikh
> akajibu 'IT IS AGAINST MY FAITH'.Padri akajibu
> 'YOU
> ARE MISSING A LOT'
>
> Jioni walipanda ndege kurudi Dar na pale Airport
> Sheikh alipokelewa na binti zake watatu warembo
> sana.Naye akawatambulisha kwa Padri ambaye alionyesha
> kuvutiwa sana na warembo hao.Sheikh alimuangalia Padri
> na akagundua kwamba amevutiwa na binti zake,
> akamwambia anaweza akaoa mmoja. Padri akajibu 'IT IS
> AGAINST MY FAITH'. Sheikh akajibu 'YOU ARE MISSING
> A
> LOT A LOT '
>
> WHO IS MISSIG A LOT?