Who is Masha John Mshomba?

Topical

JF-Expert Member
Dec 3, 2010
5,173
935
Ana uhusiano gani na Basil Pesambili Mramba na Gray Mgonja...na EPA bandits ???

Mbona hapelekwi mahakamani kama wenzake
 
Wewe ndio utuambie huyo ni nani? na umeulizwa kwanini hapelekwei mahakamani kwahiyo inaonesha una habari zake.
 
Last time I heard he was a top guy at PSPF. He has also worked for PWC as an auditor.

Kwani kafanya nini?
 
Ana uhusiano gani na Basil Pesambili Mramba na Gray Mgonja...na EPA bandits ???

Mbona hapelekwi mahakamani kama wenzake

Hebu jitahidi kuwa mtu mzima. Mtu huyo hatumjui, hatujui ana uhusiano na nani na wala hatujui amefanya nini au uhusika wake kwenye EPA ni upi halafu unaturushia swali hilo. Unatutendea haki?
 
Back
Top Bottom