Who Is Mange Kimambi? Jua ukweli wenye facts sio grapevine kumhusu huyu mtu, biography and facts!

Status
Not open for further replies.
Bashite akitoka ndiyo mtapata maji au umeme na huduma zingine? Matter of fact Bashite kafanya mambo ya msingi na makubwa ikiwemo ku initiate hospital ya kina Mama na watoto wakati wenye vyeti hawajahi kufanya chochote.

Mnaongozwa na Mange hadi mmekua kama mazezeta
Wewe acha kusapoti ujinga, kwani waliondolewa kazini kwa kukosa vyeti hawakufanya mambo makubwa. Mie minamfahamu daktari mzuri aliyefanya makubwa lakini amelazika kuachia ngazi.
 
Athari itakayo kuja kurokea kwa vijana ni kuporomoka kwa maadili katika upande wa matumizi ya lugha ya staha na badala yake wataona matusi ni jambo LA kawaida tu na unaweza kutukana bila shida.

Pili, vijana wanamezeshwa mbaya sana ya kutokuthamini juhudi za serikali na matokeo yake watakuwa watu wa kulalamikia tu serikali na kutaka vitu vinavyofanywa na serikali vifanyike haraka haraka au ghafla Bini vuu.

Vijana kutokuwa na hashima kwa viongozi wao wa serikali hivyo kufanya na kuzungumza watakavyo au wanavyofikiria bila kukumbuka kuwa mbona mange haongelei hapa nchini yuko marekani ndo anatupa madongo kwa mbali kama yeye jasiri kweli si angeongelea hapahapa.

Kwa Leo niongee hayo mafupi kwanza.

Kurokea => kutokea
Hashima => heshima
Bini => bin
 
  • Thanks
Reactions: e2n
Napendekeza Mange siku au uchaguzi ujao agombee ubunge au Apewe viti maalumu.Iwe live mapande yake.
 
Mange Kimambi 20170926_082906.jpg Mange Kimambi 20170926_082906.jpg
Mange Kimambi 20170926_082906.jpg
, Mange Kimambi 20170926_082906.jpg Mange Kimambi ni moja ya watu wanatumia mtandao vibaya hususani kwa viongozi wetu, matusi mazito,kashfa, vimbwanga, vimbwanga n.k.pia ni mtu ambaye anao ushawishi mkubwa sana katika mitandao ya kijamii na watu wengi wanatumia mitandao hiyo wanamfatilia sana kujua Mange leo kaamka na nini.Ukimfatilia kwenye facebook, tweeter na instagram n.k wengi wanamfatilia mno,pamoja na serikali kufunguliwa kesi 17 bado hatuoni jjuhudi mbali mbali za kuhakikisha an afikishe kwenye vyombo vya dola.Kwa maoni yangu kwa kuwa Mange anaishi kwa Trump na sheria za nchi hiyo zinaruhusu Democrasia na Uhuru wa kujieleza zaidi,hivyo inaweza kuwa kikwazo kumkamata mtu huyu. Na kama alishaukana uraia wa Tanzania basi sina uhakika kama Marekani wako tayari kumwachia raia wao kushitakiwa kwa sheria za Tanzania.
 
View attachment 595940 View attachment 595940 View attachment 595940,View attachment 595940 Mange Kimambi ni moja ya watu wanatumia mtandao vibaya hususani kwa viongozi wetu, matusi mazito,kashfa, vimbwanga, vimbwanga n.k.pia ni mtu ambaye anao ushawishi mkubwa sana katika mitandao ya kijamii na watu wengi wanatumia mitandao hiyo wanamfatilia sana kujua Mange leo kaamka na nini.Ukimfatilia kwenye facebook, tweeter na instagram n.k wengi wanamfatilia mno,pamoja na serikali kufunguliwa kesi 17 bado hatuoni jjuhudi mbali mbali za kuhakikisha an afikishe kwenye vyombo vya dola.Kwa maoni yangu kwa kuwa Mange anaishi kwa Trump na sheria za nchi hiyo zinaruhusu Democrasia na Uhuru wa kujieleza zaidi,hivyo inaweza kuwa kikwazo kumkamata mtu huyu. Na kama alishaukana uraia wa Tanzania basi sina uhakika kama Marekani wako tayari kumwachia raia wao kushitakiwa kwa sheria za Tanzania.
Badala ya kuhangaika na viwanda mnahangaika na mitandao ya kijamii, bure kabisa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom