Who Is Enjoying The Fruits Of Your Labour?

Invisible

Robot
Feb 11, 2006
9,075
7,878
Look at this:

The luxury Cars, Toyotas, Land Cruisers, Rav 4's; Mercedes that are parked 8 hours driven 60 min to the office and 60 minutes back home 5 days out of 7 (i.e. 10 out of 168 hours in a week) And whilst you sit on a not-so-comfortable chair in a small room called an office, your Mansion lies idle with only the House Girl enjoying herself to the 'fried egg and chocolate / Pasta/Fried Plantain breakfast', relaxing on that very expensive leather sofa that we only sit on when we get home, and being so tired, we just doze off to sleep, anyway.

When tired of work, she takes a break, turns on the Plasma TV and spoil herself with the fully subscribed DSTV, perhaps with her next-door-houseboy boyfriend!; of course if she feels bored, she can always turn on that brand name Hifi and swing a bit, And whilst all that is happening where are you? , you are eating a cheap take away lunch (chips dume) everyday and, oh by the way, there is no breakfast really, because it's just a cup of tea a few slices of bread probably with some left-overs from yesterday's supper (for the fortunate few).

Every moment you pray that it could just get to 5.30pm so that you can drive home and join, the House Girl in her mansion!! (Poor you for she own the place more than you!!!). So this is your miserable lot for the rest of your working life , by the time you retire, you'll have no pleasure in them anymore. By now your children would have joined in the Rat Race of finding a good job working very hard and never enjoying the fruits of their labours, its all vanity isn't it?
Now my question is: WHO IS ENJOYING THE FRUITS OF YOUR LABOUR BETTER, YOU OR YOUR HOUSE GIRL?
 
Khaa jamaa unakatisha tamaa wewe!!! maswali gani tena hayo? wala sijawahi kufikiri hicho kitu.
 
Ki ukweli housegirl ndo haswaa anaie njoy life kuliko hata wewe unayefanaya kazi 24 hrs.Ila kila mbuzi anakula urefu wa kamba yake.
 
now my question is: WHO IS ENJOYING THE FRUITS OF YOUR LABOUR BETTER, YOU OR YOUR HOUSE GIRL?

...housegal mkuu, na wengine 'wafanywa nyumba ndogo' ndani ya nyumba kubwa.
 
Nafikiri bwana invisible tunapo ongerea swala la fruits of your labour tunakuwa tunazungumza kwa mapana zaidi...otherwise kama tunataka kuongelea kwa kuwa ni week end.
Hapo intakuwa ni special case na kila mtu atafikiri kwa namna ya week end end hivi.

My Take

Tukiwa wote tunafikiri namna hii basi kuna mtu hatakuwa akifikiri...sasa enjoyment of your labour ni pamoja na kutumia unacho kipata hata kama ni kwa kukitupa chooni.Na maana kwamba....roho yako ilidhike kwamba mwishoi wa mwezi sasa umefika nimenunua gari au mwaka huu nimemaliza nyumba...au mdogo wangu nimemaliza ada....!!
Hiyo tu ni ENJOYING THE FRUITS OF YOUR LABOUR...

Kuwa na uwezo wa kuweka house gal ni ENJOYING THE FRUITS OF YOUR LABOUR.Kumuona house gal akiangalia TV ni ENJOYING THE FRUITS OF YOUR LABOUR.Pengine asinge weza ona kabisa maishani.
Kwa mtizamo huu basi hata kuzaliwa basi tusinge...kwani mzazi akiweza kufikiri kuwa mtoto anakaa miezi tisa tumboni kisha unamzaa then anakua kisha anakucha...what a crap..wasinge zaa.

ENJOYING THE FRUITS OF YOUR LABOUR-ni pamoja na kuweza kujipanga ukaweza pata vyote hivyo.Wangapi hawana ENJOYING THE FRUITS OF YOUR LABOUR?

Hii messege iko mara kwa mara kuwaamsha watu akili kuto jirimbikizia mali wakati most of time hawavitumii...kuwa na vichache...si umeona ameanza kuwa kutaja magari mawili na vile expensive things kama Plasma TV...etc...ni kukushock tu.....lakini kama unaweza nunua DSTV weka home ukiwa unatafuta usingizi uaangalia...ENJOYING THE FRUITS OF YOUR LABOUR.

Nawakilisha
 
Enjoying The Fruits Of Your Labour can be among other things just by making other people enjoy their life from The Fruits Of Your Labour , INCLUDING THE HOUSE GIRL.
 
aiii jamani siyo wote .. pengine Invisible vile yuko single ndo maana ... ngoja uwe na familia .. its hectic mwengine mpaka utamuonea huruma .. kina mama hawawasaidii chochote kazi kumuita tu .. hichi mbona hujafanya ... hichi bado na hichi fanya haraka .. yani amri tele .. shes the last to eat .. and the last to go to bed na the first kuamka ... kweli mwengine hata malapo anapunjwa kulingana na kazi yake ...

mm nadhani percentage kubwa ni mke na watoto who are enjoying, house girls at the minimal or not at all.
 
aiii jamani siyo wote .. pengine Invisible vile yuko single ndo maana ... ngoja uwe na familia .. its hectic mwengine mpaka utamuonea huruma .. kina mama hawawasaidii chochote kazi kumuita tu .. hichi mbona hujafanya ... hichi bado na hichi fanya haraka .. yani amri tele .. shes the last to eat .. and the last to go to bed na the first kuamka ... kweli mwengine hata malapo anapunjwa kulingana na kazi yake ...

mm nadhani percentage kubwa ni mke na watoto who are enjoying, house girls at the minimal or not at all.

Du nimependa kiswahili chako,
 
Du nimependa kiswahili chako,

hichi hichi hujawahi kufanya kazi kwa mhindi .. wanaofanya nao kazi wanaelewa .. si hiki na hiki tena .... ilimradi umeelewa ama vipi ... eeeh! bwanae na lile jengine .. mm siyo malaika ... mistakes are to human .. usifanye nami nikukague nikutoe kasoro .. publicly .. shauri lo
 
Enjoying The Fruits Of Your Labour can be among other things just by making other people enjoy their life from The Fruits Of Your Labour , INCLUDING THE HOUSE GIRL.

You quite right on this Kanda 2*2, we normally enjoy when people around are kept happy and also when people aorund close to you see people around you happy...no matter what difficulties you face in making this happen!
 
Si utani kweli House Girl/Boy anatesa sana. Sijui niache kazi nikawe HB? Mchana unajirusha na HG wa jirani stress free!!!!
 
Look at this:

Now my question is: WHO IS ENJOYING THE FRUITS OF YOUR LABOUR BETTER, YOU OR YOUR HOUSE GIRL?

Mkuu nimekupata. Kama housegirl ana-enjoy matunda ya jasho langu ni halali kwake kupokea kamshahara ka kima cha chizi!
 
Furaha lazima iwe shared ndo inakuwa timilifu wakuu. Kinyume cha hapo ndo unakuta mja anakila kitu lakini hana furaha ..ni kwa sababu ya ubinafsi wake na umimi anaishia kuwa mpweke zaidi..

Kuna mastaa wengi tu (ma-athletes na watu wa entertainment industry) ambao wanapesa ya kutosha tu lakini wameishia kutumia madawa baada ya kuface vanity..Hii yote ni kutokana na kuwa wabinafsi wenye kujijali wenyewe tu..na M/Mungu anawapa pigo ili kuwakumbusha wajibu wa upendo kwa wengine..
 
maswali haya ndio yalimfanya jamaa agome kuwa askari magereza kwa madai kwamba na yeye atakuwa anashinda segerea kwi kwi kwi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom