mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,763
- 35,201
Davis Elisa Mosha, kijana kutoka familia ya kipato cha kawaida. Mzaliwa wa Kiborloni Moshi.
Davis Mosha historia yake inaonyesha hakupata elimu kubwa (aliishia form four). kazi ya mwanzo ilikuwa mjaza mafuta pale Chalinze kwenye Filling Station ambayo leo anaimiliki
Davis Mosha kwa sasa ni miongoni mwa vijana wenye utajiri mkubwa sana hapa Bongo... ni ukweli usiofichika ni vigumu kuueleza namna alivyoupata hata yeye mwenyewe inamshinda...
Je wadau huyu Davis Mosha ni nani?? Wasifu wake?? MAfanikio yake
Lengeri
ulipata ulichokua unakitaka?