Who is a professional entrepreneur ? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Who is a professional entrepreneur ?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by CONSULT, Aug 15, 2012.

 1. CONSULT

  CONSULT JF-Expert Member

  #1
  Aug 15, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 223
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  JUMA na JOHN wote wana miaka 40,wafanya biashara, wako mjini Dar,

  JUMA :- Elimu yake std 7,(wazazi hawakuwa na uwezo)
  Kazi; amefanya biashara tangu alipomaliza tu shule ya msingi hadi
  sasa,
  ni mbunifu wa vitu vingi katika kufanikisha biashara yake..

  Mapato/Mali: maduka ya urembo 3 dar, Guest House 2, Tax 4,
  Daladala
  4, Bureau de change 2, nyamba za kupangisha 5 flats.
  mtaji wa biashsra
  300,000,000=

  JOHN:- Elimu yake digrii ya kwanza ya ujasiliamali UDSM, na digrii ya pili ni ya
  ushauri wa maendeleo ya wajasiliamali, UDSM,(wazazi watumishi
  serikalini afisa biashara wa wilaya)
  Kazi; Bank afisa mikopo miaka 8, mshauri wa biashara wa
  kujitegemea
  miaka 10.kwa sasa ana
  mwezi mmoja amefungua biashara ya duka la
  jumla kariakoo baada ya kujiandikia mchakato(Business Plan,
  Cashflow)na kupewa mkopo bank wa shs 50,000,000=
  ni mbunifu wa vitu vingi katika kufanikisha shughuli yake..

  Mapato/Mali: Gari moja, nyumba moja ya kuishi.


  SWALI LANGU NI NANI KATI YA JUMA NA JOHN NI PROFESSIONAL ENTREPRENEUR ? ?
   
 2. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #2
  Aug 15, 2012
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Professional Entrepreneur:

  Professional entrepreneur is a person who is interested in establishing a business but does not have interest in managing or operating it once it is established.

  Source:
  Professional Entrepreneur: for 1637
   
 3. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #3
  Aug 15, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,128
  Trophy Points: 280
  Mpaka hapo kuna wafanya biashara
   
 4. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #4
  Aug 15, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,336
  Likes Received: 22,188
  Trophy Points: 280
  Mmemtukana mchinja mbwa, wazimu umewarudia
   
 5. K

  Koromeo Member

  #5
  Aug 15, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 77
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 15
  Hakuna ujasiriamali hapo ni biashara za kawaida tu
   
Loading...