WHO inatakiwa izijibu hoja za Rais Magufuli kwa umakini mkubwa. Tropical diseases kama TB, Malaria kwanini hazina chanjo na zinaua sana?

Shirika la Afya Duniani ni kibara na chombo muhimu cha kutekeleza Sera za mabeberu moja wapo ya ajenda muhimu ya mabeberu ni kuitawala mifumo ya Dunia kwa ku-centralize mamlaka ili hii sera ifanikiwe ni lazima kwanza wajiimarishe kichumi waendelee kuwa superpowers na ili waendelelee super powers ni lazima wawazime incoming super powers system?!

Katika kutekeleza Sera yao ni lazima waue nguvu kazi ya wanyonge wao lzm waue uwezo wa kufikiria wa wanyonge wao ni lzma watengeneze mazingira nyonyaji kwa wanyonge wao.

Ndio maana sasa Ukimwi hautakaaa uishe malaria Tb nk lengo to control our reproductive potential.
Mpaka leo hii tukipeleka watoto wetu wachanga kupewa chanjo ya polio huwa tunandaa kabisa panadol kuikabili homa ya takriban siku tatu

Tena wamama wakitoka kliniki utasikia wanasemezana

" ... Baba Jesca yani leo sijui kama tutalala maana Jesca leo kachoma sindano ya polio uje na kabisa Calpol ya uingereza ina shusha homa haraka usichukue ya India ni feki ..."

Shubaamit eti leo mnajishaua hapa sijui wazungu wanataka kuwamaliza halafu msivyokua na haya eti mnawaita mabeberu

Shwaini kabisa kutwa mnalinjaa imefikia hatua mnavunja katiba ya nchi waziwazi kwa kulazimisha wabunge wa upinzani waliofukuzwa chama waingie bungeni ili tu mpate ugali wasiku kutoka kwa hao mnaowaita Mabeberu ...

Yaani ningejaaliwa kuwa mmoja wa Mabeberu mi ningekua wakwanza kuwa tilia sumu mfilie mbali maana ni washenzi hamna shukrani hata kidogo hambebeki na dhiki zenu yaani mweusi ni mweusi tu haki ya Mungu
 
Wala corona haitaisha kwa chanjo ya mabeberu
Kama umezaliwa zamani kidogo . Utajua kuwa tokea miaka ya 1960s watato wa ki Tz wamekuwa wakipewa chanjo kulingana na gonjwa linalosumbua . Na hili la Corona , siasa hazitasaidia labda maabara yetu igundue chanjo ya kivyetu.

Odhis *
 
Shirika la Afya Duniani ni kibara na chombo muhimu cha kutekeleza Sera za mabeberu moja wapo ya ajenda muhimu ya mabeberu ni kuitawala mifumo ya Dunia kwa ku-centralize mamlaka ili hii sera ifanikiwe ni lazima kwanza wajiimarishe kichumi waendelee kuwa superpowers na ili waendelelee super powers ni lazima wawazime incoming super powers system?!

Katika kutekeleza Sera yao ni lazima waue nguvu kazi ya wanyonge wao lzm waue uwezo wa kufikiria wa wanyonge wao ni lzma watengeneze mazingira nyonyaji kwa wanyonge wao.

Ndio maana sasa Ukimwi hautakaaa uishe malaria Tb nk lengo to control our reproductive potential.
Mbona sisi pia haraka haraka tumegundua kujifukiza kama tiba ya corona, mbona hatukugundua chochote kama hiki kabla kwa tiba na kinga ya magonjwa uliyo yaorodhesha hapo juu?

Kwenye corona usanii ni mwingi sana
 
Usipate tabu, wewe subiria majibu kutoka WHO. Wengine tunasubiri chanjo. Likikupata ndio utajua kama ni muhimu kusubiri majibu yao au kuchukua chanjo.
 
Sasa kwa nini msitengeneze hizo chanjo?

Mnangoja mabeberu wawatengenezee halafu mseme chanjo si nzuri ni za mabeberu hamzitaki?

Gonjwa la Malaria ni la kwenu tropiki, unataka kutengenezewa chanjo na watu wa Ulaya na Marekani?
Umeongea point Unajua hata HIV kwao sio tatizo kwa Sasa, tatizo ni Corona na imeua watu wengi kwa mda mfupi kuliko ukimwi,
 
Ujinga ni mzigo kweli. Je, umewahi kusikia ugonjwa unaosababishwa na Bacteria wenye Chanjo? Au protozoal disease yenye Chanjo? Chanjo ni kwa viral diseases tuu ambazo kutokana na complexity ya virus, inakua ngumu kutengeneza specific drug itakayokua effective kwq watu wote. Rejea mfano wa virus wanaosababisha mafua (Influenza and respiratory sysintial virus, pamoja na kuwa wamegunduliwa kitambo Hadi kesho hawana dawa, Ila Chanjo tuu.
Ni kweli kwa viral disease kuwa na dawa ni ngumu kwa sababu viral Wana mutate
 
Mzungu hapendi stability kwenye hizo nchi. Haoni shida kupandikiza watu ili kuleta instability. Pale alipofanikiwa kuweka pandikizi wake madarakani, amemlinda huyo pandikizi kwa gharama yoyote bila kujali misingi ya haki na democracy. Mifano ipo mingi na moja ya hiyo mifano ni Zaire ya Mobutu!
Tanzania Ina Aman tokea Uhuru mbona bado ni nchi maskini au tatizo ni mabeberu
 
Tanzania Ina Aman tokea Uhuru mbona bado ni nchi maskini au tatizo ni mabeberu

Kilichobadilika ni mbinu za ukoloni, sio ukoloni wenyewe. Ukoloni wa kizamani (old-fashioned colonialism or simply colonialism) uliondoka ukaingia ukoloni mamboleo (neocolonialism). Kwa hiyo, Tanzania imeendelea kunyonywa na kukandamizwa na wazungu kwa kutumia mbinu mpya. I hope you know something about neocolonialism!
 
Acha ujinga ndugu
 
U
Acha kukurupuka!Aliekuambia kuwa Malaria haina chanjo ni nani?Unafikiri ya kuwa kila anachoongea Magufuli ni fact?Magufuli ni MATAGA tu kama yalivyo MATAGA mengine,yaani kukurupuka!Kwa taarifa yako Malaria ina chanjo na pia kifua kikuu nayo ina chanjo!Uwe unafanya kwanza literature review kabla ya kuleta mada hapa.Siyo kila analosema Magufuli ni sahihi.Magufuli ni nasty leader ambae huwa hajui hata huwa anaongea nini!Huwa anaongea upupu kama mtoto mdogo alievaa pampasi.
View attachment 1688663
Umeliweka vizuri sana. Tuna kiongozi Mkuu mropokaji. Nitamlaumu Kikwette milele kwa chuki yake dhidi ya Lowassa na kumg'ang'ania Membe hadi tukaingia kwenye huu mkenge.
 
U

Umeliweka vizuri sana. Tuna kiongozi Mkuu mropokaji. Nitamlaumu Kikwette milele kwa chuki yake dhidi ya Lowassa na kumg'ang'ania Membe hadi tukaingia kwenye huu mkenge.

Huhitaji kumlaumu Kikwete. Obviously, kwa resources walizonazo, kuna mambo mengi ya msingi kuhusu Lowassa, ambayo CCM Central Committee ilikuwa inayajua, lakini wewe huyajui!
 
Huhitaji kumlaumu Kikwete. Obviously, kwa resources walizonazo, kuna mambo mengi ya msingi kuhusu Lowassa, ambayo CCM Central Committee ilikuwa inayajua, lakini wewe huyajui!
Hoja yangu ni simple. Baada ya JK kumuengua Lowassa angeacha Central Committee ndiyo ichuje wale waliobakia 41. Kinyume chake yeye akaja na majina ya Asharose, Amina, Januari, Pombe na Member. Kwa ufinyu wa akiki yake alijua Membe atapita kwa vile alimuwekea wapinzani dhaifu. Huku akiwa kawaacha akina Bilal, Pinda, Mwandosya, Mahiga etc

Yaani angeacha wajumbe wachague mgombea kwa uhuru na siyo kumleta Membe na wagombea dhaifu
 
Ni vigumu kuijadili hoja yako kwa sababu hakuna namna ya kujua kama ni kweli au sio kweli. Kikatiba, mwenyekiti hana mamlaka ya kufanya hayo unayodai alifanya!
 
Ni kwanini Waafrika Wasomi wenye PhD za Tiba na related Sciences hawajagundua hawajapata hawatafuti/tafiti Chanjo ya Tb na Malaria Hadi leo. Wazungu hawasumbuliwi na Tb wala Malaria tayari walishapata Tiba yake. Umesema ni Tropical Disease Mabeberu hawaishi ukanda wa Tropic.
Na sisi hatusumbuliwi na COVID, watuache na maisha yetu
 
Back
Top Bottom