IFRS
JF-Expert Member
- Dec 19, 2014
- 2,904
- 5,168
Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema dawa inayopulizwa mitaani ktk baadhi ya Nchi kama njia ya kujikinga na Corona haisadiii chochote kwenye kuua virusi hivyo. “dawa hiyo inaweza kuleta hatari kwa Watu kuugua magonjwa mengine yatokanayo na kuvuta hewa yenye kemikali”
Chanzo: CNN
Naona wabeberu wameanza kukubaliana na Rais Magufuli kwamba Kirusi cha Corona hakiwezi kufa kwa fumigation.
Ila nimeanza kuona matunda ya kuwa na rais mwanasayansi wa level ya PHD.
Chanzo: CNN
Naona wabeberu wameanza kukubaliana na Rais Magufuli kwamba Kirusi cha Corona hakiwezi kufa kwa fumigation.
Ila nimeanza kuona matunda ya kuwa na rais mwanasayansi wa level ya PHD.