Who did the best as a first lady of Tanzania?

Obvious it's Maria Nyerere, she was so tolerant in most of the issues during struggles for and after independence and didn't push her husband to accumulate wealth while on power...
 
Obvious it's Maria Nyerere, she was so tolerant in most of the issues during struggles for and after independence and didn't push her husband to accumulate wealth while on power...

absolute obvious, wala huhitaji kuuliza.
 
Mama Salma hajamaliza kipindi chake atapimwaje na walimaliza vipindi vyao. Who knows pengine anaweza kufanya mambo ambayo yatamuweka vizuri katika kinyang'anyiro cha the best first lady?
 
Mama Salma hajamaliza kipindi chake atapimwaje na walimaliza vipindi vyao. Who knows pengine anaweza kufanya mambo ambayo yatamuweka vizuri katika kinyang'anyiro cha the best first lady?

Sure!
 
Mama Nyerere alikuwa kipindi cha ujamaa na mama Siti Mwinyi kipindi cha soko huria. Maria alikuwa kipindi ambacho vyombo vya habari havikuwa huru na mwngine kipindi cha uhuru wa vyombo vya habari.

Mazingira na tabia ya mtu vyote vinatakiwa kuwa vigezo vya kupima kwa haki.
 
Just do a general evaluation by comparing strengths and weaknesses of each and come up with your own perception.

Some wrongs (weaknesses) can appear rights (strenghths) to certain people and vice versa!

Criteria please!!!
 
Bila kumung'unya maneno, Maria hawezi kulinganishwa na hao wote. Mama Salma ameonyesha ni jinsi gani alivyo selfish na anavyofuja fedha za walipakodi. Halihitaji ushahidi. Anavyogeuza NGO kuwa kampuni yake. tusubiri amalize kipindi chake ili tutathimini ni upungufu wa maono. Ndo haya ya kikwete tunasema ngoja amalize labda atakua zaidi ya Nyerere huu ni uendawazim uliokithiri. Mtu anapoanza tu, Huo mwanzo unaweza mjaji. Kikwete na Salma, complitely nosense.
 
mama maria, sio fisadi kama hao wengine.

Wengine mlikuwa wadogo na wakati ule uhuru wa habari haukuwa kama ilivyo leo na habari zake kwa kiasi kikubwa bado ni 'classified'. Kw kifupi katika kesi ya uhaini miaka ya 70's Mama Maria alihusishwa na nusura alambe talaka!
 
Back
Top Bottom