Who deserve to be called the special 1?

Nucho jr.

Member
Nov 18, 2010
59
0
Kama tujuavyo hili ndo jamvi letu wanasport.napenda kujua zaidi kutoka kwenu ivi nani anastail kuitwa the special 1 kati ya hawa 1:ferguson 2:mourinho 3:gurdiola au 4:wenger na kwa vigezo vipi
 
Kama tujuavyo hili ndo jamvi letu wanasport.napenda kujua zaidi kutoka kwenu ivi nani anastail kuitwa the special 1 kati ya hawa 1:ferguson 2:mourinho 3:gurdiola au 4:wenger na kwa vigezo vipi

Toa Wenger hapo ushuzi tu huyo.
Weka Carlo Ancelotti.
Kabeba champions league akiwa mchezaji na akiwa kocha mara mbili.
Kabeba serie A na EPL.
Kabeba takataka ndogondogo za kumwaga.
Pia kabeba klabu bingwa ya Dunia na ndiye kocha aliyepelekea AC Milan kuwa ndio klabu yenye mafanikio zaidi kuliko timi yoyote ulimwenguni.
Kama makocha huwajui basi uwe unatafiti kwanza.
Huyo Wenger ni sawa na Gordon strachan ama kina Avram Grant...
 
Kama tujuavyo hili ndo jamvi letu wanasport.napenda kujua zaidi kutoka kwenu ivi nani anastail kuitwa the special 1 kati ya hawa 1:ferguson 2:mourinho 3:gurdiola au 4:wenger na kwa vigezo vipi

aah! Wewee! Mbona unapata taabu wakati mwenye jina lake yuko hapo namba 2. JOSE MOURINHO, Fanya tathmini ndogo hivi, mcheki umri wake, vikombe alivyobeba, klabu kubwa alizofundisha na mafanikio ktk klabu hizo. Nafkiri hakuna kama yeye ktk planet. Kabeba karibu ndoo zote na labda kabakiza weldi kapu tu!
 
kawahi kubeba Super Cup?
Au je kawahi kubeba abu bingwa ya DUNIA?
Usikurupuke

maoni na uelewa wangu unalamba tu yale yenye ladha na sina haja ya kutafuna au kumeza yale unayokula na kuamini wewe.....

Alambaye na atafunaye wote kwa pamoja huushughulisha mdomo... Usifadhaike kabla ya hitimisho usije kosa mengi ndugu!... Maoni na maono yetu si sawa.
 
Ni kweli kila mmoja ana different ideas according to data alizonazo so tunatakiwa tusikilizane ili tupate data tofauti na tunazozijua
 
Kama tujuavyo hili ndo jamvi letu wanasport.napenda kujua zaidi kutoka kwenu ivi nani anastail kuitwa the special 1 kati ya hawa 1:ferguson 2:mourinho 3:gurdiola au 4:wenger na kwa vigezo vipi
mbona makocha wengine eg Del Bosque,Lippi,Ottmar Hitzfeld,Hiddink,Van Gaal na hata Benitez hamuwataji?au sababu England hawajawazungumzia sana hawa?
 
mbona makocha wengine eg Del Bosque,Lippi,Ottmar Hitzfeld,Hiddink,Van Gaal na hata Benitez hamuwataji?au sababu England hawajawazungumzia sana hawa?

Wewe umeulizwa yote hayo.We jibu swali.Wabongo vp mnaulizwa swali badala mjibu mnaanza longolongo na maswali mengine.We jibu qn kisha ukitaka uliza na mengine,huwezi acha.ARRGGGHHH
 
aah! Wewee! Mbona unapata taabu wakati mwenye jina lake yuko hapo namba 2. Jose mourinho, fanya tathmini ndogo hivi, mcheki umri wake, vikombe alivyobeba, klabu kubwa alizofundisha na mafanikio ktk klabu hizo. Nafkiri hakuna kama yeye ktk planet. Kabeba karibu ndoo zote na labda kabakiza weldi kapu tu!

shabash!!!!!!!!!
 
shabash!!!!!!!!!

maximo ndio best kaikuta tz inamimba ya soka , kalea mimba, mtoto kazaliwa, kamtunza, kampeleka shule hati dogo sashivi anatafuta maisha mwenyewe kazi kwake kutumia akili ya kuwin game la maisha
 
Wewe umeulizwa yote hayo.We jibu swali.Wabongo vp mnaulizwa swali badala mjibu mnaanza longolongo na maswali mengine.We jibu qn kisha ukitaka uliza na mengine,huwezi acha.ARRGGGHHH
wewe mwenyewe mbona haujajibu wewe sio mbongo nini?acha ushamba na kujifanja unajua sana,acha ushindani wewe khaa!
 
Kama tujuavyo hili ndo jamvi letu wanasport.napenda kujua zaidi kutoka kwenu ivi nani anastail kuitwa the special 1 kati ya hawa 1:ferguson 2:mourinho 3:gurdiola au 4:wenger na kwa vigezo vipi

kwa mafanikio ya vikombe,kupendeza na mavazi,kufundisha mpira wa kuvutia au katika kigezo kipi?majibu ya kigezo chochote kitachotumika jibu analo vicente del bosque na guus hiddink........
 
wewe mwenyewe mbona haujajibu wewe sio mbongo nini?acha ushamba na kujifanja unajua sana,acha ushindani wewe khaa!

Poa bana yote fair.Sorry nilisahau kujibu Ferg is on ma side,jamaa mi ckupenda m2 kauliza swali wanaanza ku criticise.Pa1 mkuu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom