Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Malizia kijana kutoka????Kama tujuavyo hili ndo jamvi letu wanasport.napenda kujua zaidi kutoka
Kama tujuavyo hili ndo jamvi letu wanasport.napenda kujua zaidi kutoka kwenu ivi nani anastail kuitwa the special 1 kati ya hawa 1:ferguson 2:mourinho 3:gurdiola au 4:wenger na kwa vigezo vipi

kawahi kubeba Super Cup?
Au je kawahi kubeba abu bingwa ya DUNIA?
Usikurupuke
mbona makocha wengine eg Del Bosque,Lippi,Ottmar Hitzfeld,Hiddink,Van Gaal na hata Benitez hamuwataji?au sababu England hawajawazungumzia sana hawa?Kama tujuavyo hili ndo jamvi letu wanasport.napenda kujua zaidi kutoka kwenu ivi nani anastail kuitwa the special 1 kati ya hawa 1:ferguson 2:mourinho 3:gurdiola au 4:wenger na kwa vigezo vipi
mbona makocha wengine eg Del Bosque,Lippi,Ottmar Hitzfeld,Hiddink,Van Gaal na hata Benitez hamuwataji?au sababu England hawajawazungumzia sana hawa?
aah! Wewee! Mbona unapata taabu wakati mwenye jina lake yuko hapo namba 2. Jose mourinho, fanya tathmini ndogo hivi, mcheki umri wake, vikombe alivyobeba, klabu kubwa alizofundisha na mafanikio ktk klabu hizo. Nafkiri hakuna kama yeye ktk planet. Kabeba karibu ndoo zote na labda kabakiza weldi kapu tu!
shabash!!!!!!!!!
wewe mwenyewe mbona haujajibu wewe sio mbongo nini?acha ushamba na kujifanja unajua sana,acha ushindani wewe khaa!Wewe umeulizwa yote hayo.We jibu swali.Wabongo vp mnaulizwa swali badala mjibu mnaanza longolongo na maswali mengine.We jibu qn kisha ukitaka uliza na mengine,huwezi acha.ARRGGGHHH
Kama tujuavyo hili ndo jamvi letu wanasport.napenda kujua zaidi kutoka kwenu ivi nani anastail kuitwa the special 1 kati ya hawa 1:ferguson 2:mourinho 3:gurdiola au 4:wenger na kwa vigezo vipi
wewe mwenyewe mbona haujajibu wewe sio mbongo nini?acha ushamba na kujifanja unajua sana,acha ushindani wewe khaa!