Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 71,265
- 105,432
Hujajibu swali.
Kama huwezi kumfafanua utajuaje kwamba yupo kweli na si hadithi tu?
ukishasema mungu, then tayari umeshakubali yeye ndie kakuumba, kama vile ukisema baba au mama tayari umeshakubali kuwa hao wamekuzaa. kwa hiyo weather unakubali yupo au hayupo it doesn't change the fact kuwa hauwezi kumfafanua zaidi ya vile ambavyo yeye mwenyewe kajifafanua kupitia biblia (kwa mimi mkristo). kama vile ambavyo kupima DNA kama fulani ni baba au mama yako automatically means hakuna uwezekano wa wewe kuwazaa bali wao kukuzaa wewe.
Unaweza kusema "pembetatu duara" ili kuonyesha kwamba hamna kitu kama pembetatu duara.
pembetatu duara ni oxymoron, tofauti na mungu, baba, mama, au hata duara!
God wasn't created since he is the source of everything, he has neither begining nor end
That's my point, oxymorons can be conceptualized, that does not mean they must exist.
Disproving your assertion that the mere conceptualization of god proves gods existence.
Out of parochial and superstitious supernatural myths lacking in veracity.
The argument here isn't whether God exists or not. Believers like me have already "conceptualized" that. The argument is whether we can define him beyond what he has revealed himself in his book.
You don't get to decide what is the argument.
Anybody can conceptualize god.
Faith is not an argument.
If you can't prove he exists, you can't prove that that book is even his.
You are reduced to belief.
Which even a dog has.
You don't get to decide what is the argument.
Anybody can conceptualize god.
Faith is not an argument.
If you can't prove he exists, you can't prove that that book is even his.
You are reduced to belief.
Which even a dog has.
Mara nyingi nawaambia hawa jamaa kwamba mungu ni Uoga wa Watu,Yan pale mtu anapotafakar kwa Haraka haraka,na kujiuliza maswal haraharaka na kukosa majibu sahihi,hapo ndo anaanza kumuumba mungu akilink.
i meant the argument, in relation to the title of this thread. it seems you are changing the argument of the entire thread to fit your answers! The thread asks "who created God", already supposing that god does exist, it simply asks about his origin.
Humans created god(s) out of ignorance and fear.
Mara nyingi nawaambia hawa jamaa kwamba mungu ni Uoga wa Watu,Yan pale mtu anapotafakar kwa Haraka haraka,na kujiuliza maswal haraharaka na kukosa majibu sahihi,hapo ndo anaanza kumuumba mungu akilink.