Who created God? Who made him? Where did he come from?

images

Hujajibu swali.
 
Ni -------- pekee, husema hakuna Mungu. Jiulize,kiti unachokalia, kilishawahi kuhoji kilitengenezwa na mTZ au mChina? Mada za kiShetani msizilete JF. Huku ni KUMKUFURU MUNGU! Ikiwa mmeishiwa hoja, kauzeni matango au mkafuge NGURUWE! EBOOH!
 
Kama huwezi kumfafanua utajuaje kwamba yupo kweli na si hadithi tu?

ukishasema mungu, then tayari umeshakubali yeye ndie kakuumba, kama vile ukisema baba au mama tayari umeshakubali kuwa hao wamekuzaa. kwa hiyo weather unakubali yupo au hayupo it doesn't change the fact kuwa hauwezi kumfafanua zaidi ya vile ambavyo yeye mwenyewe kajifafanua kupitia biblia (kwa mimi mkristo). kama vile ambavyo kupima DNA kama fulani ni baba au mama yako automatically means hakuna uwezekano wa wewe kuwazaa bali wao kukuzaa wewe.
 
Unaweza kusema "pembetatu duara" ili kuonyesha kwamba hamna kitu kama pembetatu duara.
 
pembetatu duara ni oxymoron, tofauti na mungu, baba, mama, au hata duara!

That's my point, oxymorons can be conceptualized, that does not mean they must exist.

Disproving your assertion that the mere conceptualization of god proves gods existence.

Out of parochial and superstitious supernatural myths lacking in veracity.
 
The argument here isn't whether God exists or not. Believers like me have already "conceptualized" that. The argument is whether we can define him beyond what he has revealed himself in his book.
 
You don't get to decide what is the argument.

Anybody can conceptualize god.

Faith is not an argument.

If you can't prove he exists, you can't prove that that book is even his.

You are reduced to belief.

Which even a dog has.
 
i meant the argument, in relation to the title of this thread. it seems you are changing the argument of the entire thread to fit your answers! The thread asks "who created God", already supposing that god does exist, it simply asks about his origin.
 
Mara nyingi nawaambia hawa jamaa kwamba mungu ni Uoga wa Watu,Yan pale mtu anapotafakar kwa Haraka haraka,na kujiuliza maswal haraharaka na kukosa majibu sahihi,hapo ndo anaanza kumuumba mungu akilink.
 
Kwa miaka kadhaa sasa nimekuwa nikiuliza kupewa uthibitisho wa uwepo wa mungu.

Hakuna hata mara moja nilipopewa uthibitisho huu.
 
i meant the argument, in relation to the title of this thread. it seems you are changing the argument of the entire thread to fit your answers! The thread asks "who created God", already supposing that god does exist, it simply asks about his origin.

If someone, through a thread, asks about who created a nonexistent boogeyman, and others dispute that that boogeyman even exists, it is well within the logical bounds of that thread to point out the absurdity of the question due to its wrong assumption that that which has not been proved to exist actually exists.

It is like happenning on a thread that asks "who created the triangular circle"?

Challenging the validity of the question by pointing out that there is no such thing as a "triangular circle" and therefore it is not possible to have its creator, is not only perfectly logical, but actually takes the exchange to a higher level of reasoning.
 
Mara nyingi nawaambia hawa jamaa kwamba mungu ni Uoga wa Watu,Yan pale mtu anapotafakar kwa Haraka haraka,na kujiuliza maswal haraharaka na kukosa majibu sahihi,hapo ndo anaanza kumuumba mungu akilink.

Hahahahahahahahahaaaa!
Free ideas ndio bado haujamtambua Mungu?

Ukisema uoga wa watu ndio umeumba Mungu, unamaana wasiowaoga hawana Mungu?
Na kila muaoga anaamini Mungu?

Embu toa scope ya huo uoga unaoumba Mungu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom