H1N1
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 4,217
- 1,579
Aksante, Cha msingi ni approach ya kuprove mambo hayo, ugumu unakuja pale watu wanapotaka kuprove mambo ya mungu kutoka kwenye inferences zao, ukiangalia hata kwenye post aliyoniquote kiranga apo chini utaona anasema "Wanafalsafa wamejadili proofs za mungu, mpaka wengine wamesema haiwezekani kuwa "proved". yaani utumie approach za watu ambao kwa kiwango kikubwa tu hawaamini mambo ya mungu kuprove uwepo wake, inawezekana vipi.
Approach sahihi ni hii.
1. Kwanza, Mungu Mwenyewe ndio anatakiwa approve uwepo wake, kutokea kwenye Biblia, kuna maandishi ambayo yanaonyesha kwamba yuko tayari kuwa challenged anasema "njooni tusemezane" na maeneo mengine mengi tu.
2. Pili, tukubali kwamba, kutokea kwenye Biblia, Yeye Mwenyewe Mungu athibitishe kutokea kwenye maandiko yake juu ya yale yote yanayobishaniwa juu yake, uwepo wake, nani kamuumba n.k
Ukifikia hapa, basi inabidi watu kama kiranga wawe tayari kuwasilikiza wale wanaompresent Mungu wanahoja gani, kwa approach zao wenyewe, approach zinazoeleweka lakini sio za kulazimishana na kusingizia imani kama wengi wanavyofanya.
then it becomes simple to prove it.
Ndugu yangu,mbaya zaidi kwa waleamavu wa akili hawa ni kuwa, wanataka ushahidi kuwa Mungu yupo, ukiwaambia wakupe aina ya ushahidi wautakao hawatakaa wakupe milele...Hatuna njia nyingine ni kuwasaidia katika imani yao hiyo (japo wanakataa kwamba wao hawana imani)...Tabu tupu kumfariji mtu aliyeishi na msongo wa mawazo karibu maisha yake yote,kumtofautisha na mlemavu wa akili perse (kichaa) ni busara tu lakini wapo sawa.
Wanachuki ni kwa nini watu wanamwabudu Mungu,kwamba Mungu yupo au hayupo wao hawajui,lakini chuki waliojijengea kwa Mungu inawatesa muda wote,na ibilisi hana hata haja nao maana hawana thamani mpya kwake.