Mnazunguka sana,jibu hili hapa:
Jibu: Binadamu ndiye aliyeumba mungu.
Nathibitisha:
Nitazungumzia dini mbili tu ambazo ni uislamu na ukristo ili kufupisha maelezo:
1.Waislamu na wakristo wote wanasema na wanajua kwamba mungu ni mmoja tu.
2.Mungu wa wakristo ana nafsi tatu,baba,mwana(yesu) na roho mtakatifu.Hamna mkristo anayepinga hili.
3.Mungu wa waislamu ana nafsi moja tu,hajagawanyika,na waislamu wanasema na wanajua kwamba yesu sio mungu.Hamna muislamu anayepinga hili.
4.Maelezo namba 2 na 3 yanathibitisha kwamba mungu wa wakristo ni tofauti na yule wa waislamu,hivyo maelezo namba 1 yanapingwa moja kwa moja na namba 2 na 3.Hivyo basi,mungu si mmoja,ni zaidi ya mmoja.
5.Hapo mwenye akili timamu ataelewa kwamba binadamu ndiye aliyeumba mungu
Tumia akili kusoma ili uelewe ninachomaanisha ili usije kuniuliza swali bovu.
Vijana tuache mihadarati! Inatuharibu!
mungu huyo uliyemwandika wa "g" ndogo aliumbwa na Mungu Jehovah'
mungu huyo uliyemwandika wa "g" ndogo aliumbwa na Mungu jehovah
Binadamu tuna mabo kweli...........huyu nae ana haya!
Nitag mkuu niweze kuingia...hukoUsiniambie kwamba leo ndio mara yako ya kwanza kusikia kuhusu swali hili, anyways, mimi nipo hapa kwa ajili ya kutoa majibu ya kisayansi la swali hilo ambalo mara nyingi huulizwa na maatheists, tafadhali, tembelea : ULIMWENGU USIONEKANA , usome makala yote uelewe nilicho kiandika.