CCM imetelekezwa kwani Mwenyekiti na Katibu Mkuu wameikimbia corona; wanachungulia tu kutoka mafichoni. Hivyo hivyo
na serikali ya CCM nayo imetelekezwa na Kiongozi wake Mkuu wake, Rais, naye kakimbia; anaichungulia tu corona kutoka mafichoni. Matokeo yake ni kwamba na wananchi, Watanzania, nao wametelekezwa na wameachwa wapuputike tu kama majani ya miti yaliyonyauka.
Ni kweli haijawahi kutokea, kitendo cha Rais wa nchi kukimbia na kujificha akiwaacha wananchi alioapa kuwalinda mikononi mwa COVID-18 wakipuputika ni unique na hakijawahi kutokea duniani. Hata lugha ya watu nayo tumeitelekeza na kuiacha ipuputike...awamu hii haijawahi kuwa na mfanowe na haitatokea iwe na mfanowe!
itaishia kusahihisha lugh tu ujumbe huu ni moto sana na bado
 
Back
Top Bottom